Hii hatari sana kupenda vya kupewa bure
Ukimwi tayari wametupa sasa hapo kwenye ndoa za jinsia moja naona ndiyo hatari sana nyakati hizi halafu jamaa wamekazania sana .
Mkuu wahenga wamenena maji huufata mkondo sisi weusi huwa hatuna mwamko wa kufanya kazi kwa bidii lakini kwa hizo sadaka huwa tunagombania yaani ni kichefu chifu na ijumaa hii utawakuta wapo kitumbini na kariaakoo utasema dafur na hayo bado yatakuja na mwisho tutakuwa kama india au bombey walla na tena hizo sadaka ni taka taka tu na tukishapa basi huwa na majisifu sana na vya buri huwa vitamu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.