Ujumbe mahsusi kwa watu8

Bila shaka wanaenda kwa ndugu yao watu8 kula easter lol!
 
Last edited by a moderator:
Hapo wanaenda kupiga ubweche wa Pasaka kwa mjomba wa Iguguno...
 
Hapo lazima tukubaliane kutokubaliana.. hata kama ni fotogenge....!
 
Kufanya kitendo kama hicho ni kuonesha jinsi akili ilivyojichukulia likizo bila ruhusa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…