Ujumbe kwenye Signature ndani ya MMU

Ujumbe kwenye Signature ndani ya MMU

kuna mawili...unapenda kusikilizwa au niseme kushauri! na pili your imaginative... nadhani tu

Kama unazungumzia signature yangu, ujumbe ni kwamba uwezo kupata au kufanya unachotaka upo mikononi mwako. Tengeneza mazingira kufanikisha lengo lako.
 
Kama unazungumzia signature yangu, ujumbe ni kwamba uwezo kupata au kufanya unachotaka upo mikononi mwako. Tengeneza mazingira kufanikisha lengo lako.
unaendelea kushibisha nilichokidhania juu yako, nashukuru kwa tafsiri ingawa mi nilienda mbali zaidi ya hapo. Rejelea swali lako wakati unanijibu swali langu.
 
Mimi nimeipenda ya surat taha ila kumbe ASPRIN kaifanya kwa MAHABA!
 
Isaya 41:10
usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu.
Kitabu kipi kilitokana na kipi?
 
Quran na Bible
OK, kwa mtazamo wako ni kipi kilikuwapo kabla ya kingine.
HITS.
Quran ilishushwa kwa Mohammad bin Abdallah bin Abdul mutwalib bin hashim bin Abdul manaf bin Quswai bin kilaab A.K.A Mustafa. Tourat ilikuwepo kabla ya Yesu Kristo mwana wa Daud, Injil iliandikwa na wanafunzi wa Yesu Miaka mingi labla ya kuzaliwa Mohamed S.A.W.
 
Nimeelewa kumbe kipi kilitokana na kipi.
 
Nimeelewa kumbe kipi kilitokana na kipi.

  • "If thou wert in doubt as to what We have revealed unto thee, then ask those who have been reading the Book from before thee. The truth had indeed come to thee from thy Lord." (ibid. vs. 94)

    AND DISPUTE YE NOT WITH THE PEOPLE OF THE BOOK ... BUT SAY: WE BELIEVE IN THE REVELATION WHICH HAS COME DOWN TO US AND THAT WHICH CAME DOWN TO YOU". (S. Ankabut 29:46)

  • "People of the Book! ... Stand fast by the Law, the Gospel, and all the revelation that hath come to you from YOUR LORD. It is the revelation that has come to thee from THY LORD." (ibid. vs. 68).

"Allah! There is no God but He, - the Living, the Selfsubsisting, Eternal ... He sent down Law (of Moses) and the Gospel (of Jesus) ... as a guide to mankind." (S. Al-i-Imran 3:2-3)

Back
Top Bottom