Ujumbe kwenye Signature ndani ya MMU

Ujumbe kwenye Signature ndani ya MMU

By Eddy Love Amesema Hanipi Papuchi Mpaka Nimuoe Nami Nimejibu Huli Hela Zangu Mpaka Tukioana
 
Last edited by a moderator:
Ndo kusemAaa

Shhhh.jpg
 
Nipendwe na kila mtu nimekua pesa?na nichukiwe na kila mtu nimekua mavi mie😛😛😛😛😛😜
 
Hahahha asante kwetu mafuriko tutachezaje

Nitakufundisha kuogelea kwenye mafuriko, na kwa hakika baada ya hapo mafuriko yenyewe yataona aibu.
Nikudokeze tu Babu Asprin ni mchaga, anaogopa maji kuliko kifo.

Ukitaka kuamini mwambie muende vacation Pemba kwenye underwater Manta hotel resort.

PR.jpg
 
View attachment 249924

Hizooo zoote mbwembwe mie ata kwake sidanganyiki
 
Last edited by a moderator:
kuna 'signature' nyingine zinachekesha, nyingine zinafunza, nyingine mipasho tu n.k
 
kuna 'signature' nyingine zinachekesha, nyingine zinafunza, nyingine mipasho tu n.k

Ni kweli kabisa mkuu, ndio maana kuna signature almost ni za kudumu wakati nyingine hubalika kutokana na sababu mbalimbali.
 
Back
Top Bottom