Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
Ndio ujue mapenzi yangu kwako ni ya dhati toka moyoni....Hahahhha hii ni yangu mbona asante mpenzi
Ndio ujue mapenzi yangu kwako ni ya dhati toka moyoni....Hahahhha hii ni yangu mbona asante mpenzi
mie hata siwelew.....................
kichwa kimekuwa kama mtaa ulokosa balozi
Hii imetulia kama maji ya mtungi...Hii pia nzuri:
...Shimo La Panya Halizibwi Kwa Mkate.....
Hii imetulia kama maji ya mtungi...
The best way to predict the future is to create it !
We si ulitoroka Engish Course pale Magomeni Mapipa intaneshno koleji?Wecha we
Kizungu umejifunzia wapi
We si ulitoroka Engish Course pale Magomeni Mapipa intaneshno koleji?
Wife bhana... najua tu ulitaka nikusome. Mwanamke una wivu Michelle Obama kasingiziwa..... khaa!!
"whoever wins the war gets to write the history"
Wewe nawwweee.... wale wanatuma messseji, mahera unahesabu wewe bhana..Hahaha
Si unajua abiria chunga mzigo wako....
Nisipojipitisha pitisha utaniona saa ngapi na kutwa wajukuu wamepanga foleni wakitaka uwakague???
Nimefurahi kuona mwandiko wako...
Mwalimu na mpenzi wangu, hebu nambie huu mpasho hapa chini ilikuwa kwenye kitchen party ya nani?
"kama ya kwangu itakuongezea ushindi japo kidunchu basi njoo uichukue, tena uifwate nyumbani"
:msela::majani7::violin::hippie::kev::target::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome:😱😱😱😱😱
:msela::majani7::violin::hippie::kev::target::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome:
Nipe nafasi nikutekenye.......Haha ha ha napenda kucheka
Nipe nafasi nikutekenye.......
Kumbe hupendi kucheka......:glasses-nerdy:Mmmmh aka
Kumbe hupendi kucheka......:glasses-nerdy:
Inategemea unatekenywa na nini... mi natekenya na kidole laini kisicho na kucha wala mfupaNapenda sipend kutekenywa lakini ni tabia mbaya kutekenyana
Inategemea unatekenywa na nini... mi natekenya na kidole laini kisicho na kucha wala mfupa