Ujumbe kwenye Signature ndani ya MMU

Ujumbe kwenye Signature ndani ya MMU

Nadhani sasa ni muda sahihi kufuta hii signature. Sikumuombea mabaya ila yameshamkuta yakumkuta. Kuna wakati namhurumia lakini sina jinsi.
 
Nilielewa kipi ni kipi maelezo yamekuwa marefu mpaka hata nimesahau tuliongelea nini? Ngoja niamke kwanza na beer baridi.
tuliongelea kuhusu fanta na serenget ipi ina sukari nyingi
 
[MENTION]GIUSEPPE[/MENTION] Kifupi mkuu nisikuchoshe but am not interested to discuss any one belief.
 

Attachments

  • 1431854671577.jpg
    1431854671577.jpg
    54 KB · Views: 81
Back
Top Bottom