Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Imenifanya ni reflect namna wanyama wanavyolea watoto wao!
Wanatumia muda mwingi na watoto wao! they never hire "house girls"!!wanaleaje watoto wao
Kwa kweli nakapenda. Mungu anijaalie nikape malezi mazuri kwa kweli.Anajua sana tu Karucee...watoto wana akili sana nephew wangu ana 2 na nusu alimkuta mama ake kakaa siku ataumwa akamuuliza mama umwa wewe? Akamjibu ndio akamwambia polee mie penda wewe mama na busu akampa mama ake dada alishangaa sana....
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kwa kweli nakapenda. Mungu anijaalie nikape malezi mazuri kwa kweli.
Amin...pia mungu amjaalie maarifa na afya njema
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums