Ujumbe kwa watawala

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,694
149,917
Nina maneno haya machache kwa watawala/wanasiasa:

"Ukikosea kuteua umeoikosea Ilani, na ukiikosea Ilani umekosea ahadi zako na ukikosea ahadi zako, umedanganya."

Vicious cyle(na itakutafuna tu)

Kwenye kozi za computer/IT kuna msemo:

"Garbage in,garbage out"
 
Nina maneno haya machache kwa watawala/wanasiasa:

"Ukikosea kuteua umeoikosea Ilani, na ukiikosea Ilani umekosea ahadi zako na ukikosea ahadi zako, umedanganya."

Vicious cyle(na itakutafuna tu)
Aisee kweli kabsa mkuu. Kuna wateule baadhi wa Rais weupe sana kichwani km Makonda
 
Back
Top Bottom