Ujumbe Kwa Wanawake mnaojiona wazuri

Ujumbe Kwa Wanawake mnaojiona wazuri

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,221
Reaction score
4,692
Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo,usidhani utatetemesha kila Mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani,urembo wako hauwasumbui kama bichwa lako ni kanyaboya,uzuri wako hausaidii kitu,

na utashangaa no one is paying attention,watu utakaowapata ni walewale kanyaboya wenzako, na hawana futuretabaki unaliwa bure kila siku unatoa macho.

Ukipata mwanaume anakupenda unaanza drama zako na kupiga watu danadana,madai yako hujali na unadhani hata akiondoka utapata mwingine kisa wewe ni mzuri, la hasha Mwanaume akijitoa mhanga kukupenda kwa uzuri wako mheshimu,maana viumbe wa kike wakiwa wazuri ni shida na matatizo hakuna mtu anataka,

sasa ukimwongezea na drama pamoja na yeye kujigeuza mpalestina kwako utajikuta umeolewa na kioo cha chumbani kwako, maana hicho ndo kinakudanganya sana kwamba we ni mrembo.

Watch out drama zina mwisho, leo unacheza na mioyo ya watu unajiona we kifaa usidhani wanaume hawaumii, tunaumia
sema hatusemi tu,

Machozi yetu kama ya samaki.
 
Pole sana ,umeamua kutoa ya moyoni na inaonyesha amekuumiza
 
Pole mkuu, binafsi niko katika kipindi kama chako hivo natambua maumivu yapoje
 
Yani mkishavurugwa ndio mnakuja kusasambua wanawake hapa,ha ha ha maneno ya mkosaji,jf inaondoa stress.
 
Back
Top Bottom