Ujumbe kwa wanaume

Hujaolewa??

Utakuwa ulikuwa unamchepusha mme wa mtu wewe sio kwa hili povu
 
Sijaolewa
Ninhechepuka ningejitetea mm mchepuko.
Na hata nikichepuka siwezi kujitetea
Haijalishi ni mm nafanya fact itabaki kuwa Fact
Hujaolewa??

Utakuwa ulikuwa unamchepusha mme wa mtu wewe sio kwa hili povu
 
Mwanaume huchepushwa na mwanamke na huchepukia kwa mwanamke. Kama vipi mbona akienda huko atulia
 
Wanawake bahna we unataka uwe na mwanaume wako mmoja tu na wenzio wafaidi wapi? ka kimya kama wewe ni mchepuko
Na kama ushawahi kwenda kwa waganga kisa mapenzi pole sana.
 
Wanawake bahna we unataka uwe na mwanaume wako mmoja tu na wenzio wafaidi wapi? ka kimya kama wewe ni mchepuko
Na kama ushawahi kwenda kwa waganga kisa mapenzi pole sana.
Na nyie wanaume mnavyotaka tuwe na mmoja tu na wenzenu wengine wafaidi wapi?
 
Kwenye huu Uzi nimependa kitu kimoja tu,kile kitendo cha kuukiri ukweli kuwa wanaume wote tunachepuka. Na huu ukweli haupingiki..sisi wenyewe wanaume ukituuliza kwa nn tunachepuka!? Hakuna jibu la maana,huwa tunajikuta tu. Kwa mfano mimi, nampenda kweli mke wangu,lkn huwa najikuta nachepuka na nikichepuka najisikia vibaya kabisaa! Hapa sasa hv nimetoka kumblock mchepuko ambaye nimempita jpili. Naona anataka kuleta mazoea, nimemwambia me nampenda sana mke wangu,ndiyo maana nilivyokuwa na wewe nilikulipa kabisa,kisha nimemblock. Ngoja nitulie tena hata miezi 2 sijui ntaweza!!!??
 
Siyo wanaume wote wanachepuka wapo ambao hawachepuki tena kwa hiari yao na ni marijali
 
Ni kweli kuchepuka ni upumbavu. Ninakuombea Mungu akupe mme ambaye hawezi kuchepuka maana yake si mbumbavu.
 
Siyo wanaume wote wanachepuka wapo ambao hawachepuki tena kwa hiari yao na ni marijali
Usidanganywe Dada,hakuna mwanaume asiyechepuka. Niamini mimi dada,mimi huyu nnayeandika naaminika mno na mke wangu..!! Wapo wanaume wasiochepuka kwa maneno tu,lkn kwenye uhalisia hayupo. Ila ukiniambia wanawake,nna uhakika wapo wengi tu ingawa nao wanaochepuka pia wapo kibao. Ila mwanaume hayupo hata mmoja. Yaani ukiacha hawa waliooa,hata mapdri kabisa ambao hawaruhusiwi kuoa wanapiga km hawana akili nzuri..!!
 
Kuna baadhi ya michepuko inasababisha ndoa idumu.
Wanawake tambueni hilo.
Vinginevyo kwenye ndoa ingekuwa purukushani kila siku.
We unamnyima tu mwanaume kisa kuchoka na anavumilia unadhani Ni hivi hivi?
Kuna mtu anampunguza hasira na mnakuwa na amani. Wasifuni basi hata wadada ambao ni michepuko. Ndio maana wengine wamewaachia mada baada ya kuwatukana.
Michepuko hoyeeeee!!
 
Olewa kwanza ndio uje utoe ujumbe! Sio unaongea huku unaongoza kugegedwa na waume za watu, ..
Olewa tuone ubavu wako eboo!
 
Shida zote hizo za nini si utulie tu na mkeo? Jamani
Shida sio kutulia. Tukiamua kutulia na kuwa busy na shughuli kwaajili ya familia hamchelewi kugongwa na houseboy au Bodaboda..

Mnasahau kwamba tukiamua mbwaimbwai hapatakalika
 
Ukisema hawapo kabisa hata mmoja unatulisha matango pori mkuu! Wapo sana sema kati ya mia hata tano hawafiki ila sio sifuri kabisa kama unavyosema ww
 
adui ya mwanamke ni mwanamke mwenyewe, hawa waume zenu wanachepuka kwa wanawake wenzenu tena wakifahamu kabisa ni mme wa mtu fulani, mkikaa kikao kikubwa mkaonyana hili wanaume watashindwa kabisa.
Tena nakuambia mtoa maada mwenyew usikute anagongwa na Mme Wa mtu
 
Umeongea ukweli mtupu..
Na ukiona mwanaume hajachepka basi ujue ana matatzo binafsi, kama vile kifedha hajakaa sawa,matatzo ya kiafyan.k
 
Hizo ni mbinu tu mnazotumia wanaume kutuaminisha wanawake kuwa hakuna mwanaume asiyechepuka ili hata tukitaka tuwaacha kwa hiyo sababu tuishie tu kughairi na kusema "wanaume wenyewe ndo wale wale tu wote wanachepuka tutaacha wangapi"

Na huwa mnafurahi kweli mkisikia tunaongea kauli kama hiyo na hiyo kauli ndo inawapa sifa za kuzidisha umalaya wenu na ni wanawake wajinga tu ndo wanaendelea kuisema hiyo kauli na ndo hao wanaolazimisha hadi kuwa na waume za watu ila wanawake wengi tumeshashituka siku hizi

Kwa sababu wanaume duniani mpo billion 3 kama sikosei hivyo haiwezekani wanaume wote muwe na tabia moja hakuna tabia ambayo ni common kwa binadamu wote duniani kila kitu kina kinyume chake ili maisha yabalance anyway maneno yangu siyo sheria kila mtu abaki na anachoamini

Ila hiyo ya kwamba "hakuna mwanaume asiyechepuka" mtaendelea kuwadanganya hao hao wanawake wajinga ila mimi binafsi hakuna mtu yeyote narudia hakuna mtu yeyote anayeweza kubadilisha mtazamo wangu ninaamini kuna wanaume wasiochepuka tena wapo kwenye kila nchi duniani haijalishi kama mimi nitampata mume asiyechepuka au anayechepuka ila ninachojua ni kwamba wasiochepuka wapo fullstop
 
Kama michepuko inawapunguzia hasira na kusababisha ndoa idumu sasa kwanini mnawadharau wanawake wanaotembea na waume za watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…