Hilo la wanawake kubadilika kwenye ndoa na kuwa tofauti na kwenye uchumba mmelitaka wenyewe wanaume kwa sababu wanawake ambao wamefikisha miaka 30 au zaidi na hawajaolewa mnawaperceive vibaya tofauti na wanaume wenye miaka 30 na kuendelea na hawajaoa na hakuna binadamu anayependa jamii imfikirie vibayaHahahahahah.
If don't want, just play fairly.
If you wanna go for equity make sure that your hands are so clean.
Just play your roles as a wife, respect your man, be a whore to your man in bed uone kama he will cheat.
Tatizo lenu maisha ya ndoa huwa mnayachukulia poa mkishazoeana. Mfano kabla ya ndoa ulikuwa unaepiga Vita manyama uzembe but baada ya kujifungua mtumbo huo ukiambiwa piga mazoezi hutaki.
Haya mbali na hilo before hamjaoana ulikuwa unajituma sana katika mapenzi style nyingi kama nini but baada ya ndoa. Akitaka chuma mboga unamwambia nimechoka na hautaki style za ajabuajabu. Kama una hamu ingiza ukojoe uniache nilale.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Though cheating is a choice.
What? Kinachosababisha tuoe ni tamaa. Kasome kitabu cha wakorinto pale Paulo anasema mngeweza mngekuwa kama mimi ila kwa sababu tamaa zenu yawafaa muwe na Mwanamke.Tatizo wanaume wa siku hizi mnaoa kwa tamaa hamuoi kwa mapenzi tena hivi wewe binadamu gani unataka ufanye kila siku eti kisa umeoa? Kwani ndoa ni kufanya tu? Aisee kwenye swala la ngono kweli shetani amefankiwa kuiteka dunia
Ila kwa huyo mwanamke ambaye hata mara moja kwa mwezi anaona kero mwanaume wake anatakiwa kukaa chini kujaribu kuongea naye ila siyo wale wanaume hata siku nne tu ambazo mkewe yuko kwenye hedhi eti yeye hawezi kuvumilia khaa
Ni kweli unachosema mkuu,kwa kuliona hilo mke na watoto ndio wenye maamuzi katika vitu ninavyomilikiKwanini apate taabu? Seriously yaani wanaume mnataka kujifananisha na watoto jamani hebu kuweni na huruma mama ahangaike na watoto let's say wawili au zaidi bado tena ahangaike na wewe mtu mzima unayeweza kujifanyia kila kitu mwenyewe? Kuna vitu lazima wanaume mkubaliane navyo tu kwenye ndoa na kuacha vipite siyo lazima kila pungufu la mkeo ulitafutie sababu ya kuchepuka
Labda kama sijaajiriwa wala sina biashara yoyote nakaa tu ndani kufanya kazi za ndani na kulea watoto na mume ndo anayenitimizia mahitaji yangu yote kiuchumi na ya nyumbani hapo sawa ila kama pesa tunatafuta wote familia tunahudumia wote halafu bado nikirudi nyumbani kazi za ndani na watoto vinaniangalia mimi basi hapo mwanaume utajibeba tu kwa kweli you guys need to find your humanity
Well spoken.Hilo la wanawake kubadilika kwenye ndoa na kuwa tofauti na kwenye uchumba mmelitaka wenyewe wanaume kwa sababu wanawake ambao wamefikisha miaka 30 au zaidi na hawajaolewa mnawaperceive vibaya tofauti na wanaume wenye miaka 30 na kuendelea na hawajaoa na hakuna binadamu anayependa jamii imfikirie vibaya
Hivyo hii inapelekea wanawake kutaka ndoa sana kuliko wanaume kwahiyo wakipata wachumba wanajaribu kufanya kila kitu ambacho wanaume wanataka ili tu hao wanaume wawaoe sasa wakishaolewa si tayari azma yao ya kuolewa imetimia kwanini waendelee tena kujituma kama kwenye uchumba wakati walichokihitaji wameshakipata?
Ndo hvyo staki kero[emoji23][emoji23][emoji23]okay Cheat in peace mkuu
Kwani ni wapi Mungu aliposema wanaume muwe na wanawake wengi kwa sababu wanawake ndo wapo wengi kuliko wanaume duniani yeye kataka iwe hivyo ana sababu zake ila hajawaambia kwamba ndiyo sababu ya wanaume kusaliti wake zao kuoa mke zaidi ya mmoja ni sawa unasema kwamba kwa sababu Mungu kaiotesha bangi basi ndo ameruhusu tutumie hata kama hajasema si ndiyo?Una lako jambo wanawake bil 5.6 wanaume bil 2.2 wengine nani atawapiga mswaki mwanaume wa kuenziwa. Hakuna ati mjinga Mungu ndy kafanya iwe hivyo furahi tu wewe hupendi wenzako wapate huduma?
Nakazia hapo kwenye uwe na mwanamke na siyo wanawake basi kumbe hizo tamaa zenu zina uwezo wa kumalizwa na mwanamke mmoja tu wengine wote mnaochepuka kwa kisingizio cha kuwa wake zenu wanashindwa kuhimili mahitaji yenu mnajiendekeza tuWhat? Kinachosababisha tuoe ni tamaa. Kasome kitabu cha wakorinto pale Paulo anasema mngeweza mngekuwa kama mimi ila kwa sababu tamaa zenu yawafaa muwe na Mwanamke.
Kutokana na hayo, tunaoa kwa sababu ya tamaa.
Sasa basi kama ambavyo umetokea kwenye nanii ya mtu mmoja ndivyo ambavyo unatakiwa uingie kwenye nanii ya mtu mmoja pia
Mkuu siyo kila binadamu alikuja duniani kutimiziwa mahitaji yake yote kama ingekuwa Mungu anataka kila binadamu atimiziwe mahitaji yake yote basi kusingekuwa na watu masikini wote angewafanya matajiriMwanamke ukiwa kwenye ndoa angalia unatimiziwa mahitaji yako. Wajibu Wa Mme ni kuhakikishia familia, kula, kuvaa, watoto wanaenda shule na mambo mengine. Ukitaka kujua mmeo anamicjepuko mingap mtafariki Wa bp kila Siku.
Wanaume tuna huruma sana, huko nje kuna wanawake wenzenu tukiwaacha wataadhirika, so tunajitahidi kuwaweka Sawa na Kwa Mungu tuna thawabu.
NdiyooNi kweli unachosema mkuu,kwa kuliona hilo mke na watoto ndio wenye maamuzi katika vitu ninavyomiliki
Sisi mume wetu katulia na sisi tyuuu🤗🤗Kuna watu wana mioyo jamani chaaah!!![emoji134]
Hapana solution siyo kucheat solution ni kuacha kuwapressurize wanawake kuolewa mapema kwa kuwadanganya kuwa eti kuna umri wakifika wanakuwa wameshachakaa hivyo hawawezi kuolewa wala kuzaa mkiacha hizo imani mtawafanya wanawake waingie kwenye ndoa kwa hiari yao wakiwa tayari kubeba majukumu ya mke na mama maana siyo kila mwanamke anakuwa atayari kubeba hayo majukumu kwenye umri ambao mnasema ndo anafaa kuolewaWell spoken.
Hapo sasa ndipo cheating huanzia ili mtu apate kile alichokuwa anapewa ila leo hii hakipati.
Wamama Afghanistan wapo hapahapa bongoland na wengi wao ni warogi...😂Hahahahaha........umenifanya nicheke kama mwehu eti "mama Afghanistan" huyu anapatkana WAP?
Shikamoo mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134]
Basi ndo muone kwamba kuoa wake 4 siyo solution ya nyie kuacha kuchepuka bali solution ni kuamua kutulia na mke 1 tu maana mwanaume aliyeamua kutulia mke 1 anamtosha ila mwanaume ambaye bado anataka kutembeza rungu hata aoe wanawake dunia nzima bado atamuomba Mungu amuumbie wengine kwahiyo msituchoshe na visingizio vyenuWanaume ni wanaume tuu, hata awe na wake 4 bado lazima tutamani mizigo mupyaaa, so pole Sana
Kwa sababu gani kwa sababu ya mapungufu yetu au kwani nyie hamna mapungufu yenu? Kwahiyo unataka kusema kuwa na nyie mnapokuwa na mapungufu yenu na sisi tuwacheat si ndiyo?Pia nanyi mnachangia sana wanaume kucheat.