Ujumbe kwa wanaume

Tutajitahidi kujirekebisha mkuu
 
Ndio hivyo mkuu...na tunaochepuka kwa akili familia zetu muda wote zinafuraha,kwa sababu humsumbui bi mkubwa na yeye atakupa akiwa na hamu na wewe tu.Pia na wewe unakuwa umepunguza mzigo huko pembeni na unakuwa umeondoa stress
Kwahiyo unataka kusema kwamba mkeo akiwa anakupa wakati wowote unaotaka hautachepuka?
 
Unavyoongea utasema hizo haja zenu mnaenda kuzimalizia kwa wanyama
 
ha ha ha mnapenda kudekezwa,ila ukimdekeza yule anayeongoza familia lazima amani na utulivu uwepo na kicheko kinakuwepo muda wote;mfano mwanaume akiwa home anatakiwa achukuliwe kama mtoto mdogo
Kwahiyo unataka mama ahangaike na watoto na bado ahangaike na wewe tena kwani wewe hao watoto hauna muda nao?
 
Kuna watu wana mioyo jamani chaaah!!!
 
Kwahiyo mmewapa go ahead ya kuchepuka 8la wachepuke kwa "heshima"!!!!!

Heshima ina tafsiri nyingi kweli.
 
Na hakuna kitu kibaya kama mwanaume uCheat alafu mke akuone kama mpumbavu
Kuna mama hadi leo huwa hapendi kuishi mji/mkoa mmoja na mumewe maana hawezi kupretend kumheshimu mumewe kila siku, atleast hizo w.end wanazokuwa pamoja. Na ni watu wazima haswa.
 
adui ya mwanamke ni mwanamke mwenyewe, hawa waume zenu wanachepuka kwa wanawake wenzenu tena wakifahamu kabisa ni mme wa mtu fulani, mkikaa kikao kikubwa mkaonyana hili wanaume watashindwa kabisa.
Ndo shida hio unadhani anaekuibia anatoka mbali basi.
Kikubwa nilichokiona mm nawaacha watimize haja zao mpaka wasaze afu niwaulize dolla ziko wapi nikazichange
 
 
Kwahiyo mmewapa go ahead ya kuchepuka 8la wachepuke kwa "heshima"!!!!!

Heshima ina tafsiri nyingi kweli.
Adabu iwepo wachepuke tu mpaka mwisho,mpaka wakaukiwe damu

Hasara kwa nani unadhani? Si kwao
 
Binadamu naye ni mnyama, halafhu haja zetu hazina mahusiano na ushauri wenu
Ila wanaume mnapenda kushindana na mlikotoka jamani na bado hamjawahi kupashinda siku mkipashinda mtushitue wanawake basi
 
Ndio tulivyoumbwa na sio kuwa tunashindana na hiyo sehemu.
Ndio maana nimesema mwalimu wa mwanaume ni sehemu zake za siri tu na sio mwanamke mwenye hiyo kitu.
Ila wanaume mnapenda kushindana na mlikotoka jamani na bado hamjawahi kupashinda siku mkipashinda mtushitue wanawake basi
 
Nani achoke kutumia hiyo kitu? Hujaona wazee wa miaka 90 wakizisaka hizo habar na kuzitumia ?
Basi usishaurike endelea na hio mentality yako ya kitoshaurika mkuu.
Jilishe tu upepo hakuna atakae kuombea kabisa.
Ukichoka utakaa kitako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…