Sasa si unipe hilo andiko? Duuh waalimu wana kazi lete andiko mkuu
Ila wewe jamaa ni mgumu kuelewa aisee nimekwambia nipe andiko ambalo Mungu ameruhusu usinipe mifano ya watu sasa Ibrahim ndo Mungu? Na nimetoka kukwambia hapo juu kuwa hao kilichowafanya wabarikiwe ni imani zao za kuhamisha milima na mioyo yao ya kukiri makosa na kutubu Ibrahim hadi leo anaitwa baba wa imani na hicho ndicho kilichofanya Mungu ampende na siyo kuzaa na huyo kijakazi na kwanza umesoma baada ya hapo nini kiliendelea au umeishia hapo hapo tu? Hapo umefeli jaribu tenaMkuu hebu kasome kitabu cha Mwanzo Sura ya 16:4-6. Kisha soma mwanzo hiyo hiyo sura ya 26:34-35. Halafu urudi hapa tufunge mjadala km ulivyosema.
Duuh aisee mkuu nimekwambia nipe andiko ambalo Mungu karuhusu hapo sijaona sehemu aliyoruhusu bali ameongelea kama imeshatokea yaani amewapa mbinu ambao tayari sasa ndo wameshakuwa na wake wawili ila hajaruhusu yaani bado mnarudi kule kule kwa kina Ibrahim na Solomon nipe andiko mkuu siyo mifano ya watu wale ni binadamu siyo malaikaKumbu 21;15
Akiwa mtu yuna wake wawili, mmoja ampenda, mmoja hampendi, nao wamemzalia watoto, ampendaye na asiyempenda wote wawili; na yule mzaliwa wa kwanza akiwa ni wa mke asiyependwa;
If a man have two wives, one beloved, and another hated, and they have born him children, both the beloved and the hated; and if the firstborn son be hers that was hated:
Utakua unachuki na wanaume wewe, hata muundo wa tendo la ndoa/ngono linaonesha hatuko sawaKutokuwa sawa na wanawake na kuwadharau wanawake ni vitu viwili tofauti binadamu hatuko sawa na Mungu lakini Mungu hajawahi kutudharau sasa niwashangae nyie wanaume sijui mnajihisi ni akina nani haswa kutudharau wanawake kwa kisingizio cha kuwa hatuko sawa tuko chini yenu hata Mungu anawashangaa
And here comes another fool hivi umeielewa hiyo post yangu au umekurupuka tu? Tena naona kama wewe ndo umejibu kwa chuki na mihemko zaidi try againUtakua unachuki na wanaume wewe, hata muundo wa tendo la ndoa/ngono linaonesha hatuko sawa
Duuh aisee mkuu nimekwambia nipe andiko ambalo Mungu karuhusu hapo sijaona sehemu aliyoruhusu bali ameongelea kama imeshatokea yaani amewapa mbinu ambao tayari sasa ndo wameshakuwa na wake wawili ila hajaruhusu yaani bado mnarudi kule kule kwa kina Ibrahim na Solomon nipe andiko mkuu siyo mifano ya watu wale ni binadamu siyo malaika
Mbona umesoma sehemu moja pekee wakati nimekupa vifungu viwili!?? Ngoja nikuongezee upate home work ya kutosha kwa leo. Kuoa wake wengi au kuchepuka kwa mwanaume siyo issue mkuu soma pia hapa.Mwanzo:29:15-35. Yakobo mbali na kuoa mabinti wawili wa labani,lkn bado aliwatafuna hata wafanyakazi wa ndani.Ila wewe jamaa ni mgumu kuelewa aisee nimekwambia nipe andiko ambalo Mungu ameruhusu usinipe mifano ya watu sasa Ibrahim ndo Mungu? Na nimetoka kukwambia hapo juu kuwa hao kilichowafanya wabarikiwe ni imani zao za kuhamisha milima na mioyo yao ya kukiri makosa na kutubu Ibrahim hadi leo anaitwa baba wa imani na hicho ndicho kilichofanya Mungu ampende na siyo kuzaa na huyo kijakazi na kwanza umesoma baada ya hapo nini kiliendelea au umeishia hapo hapo tu? Hapo umefeli jaribu tena
Yaani dunia hii wanaume wasiochepuka wako wengi tu na wanafurahia nmo wake zaoWanatolea mifano ya kina Suleiman kuoa wake wengi bila kujua mwisho wao ulikuwaje wanashikilia hapo tu pa kuoa wake wengi Suleiman alifanya dhambi nyingi siyo uzinzi tu pia aliua baadhi ya ndugu zake ili apate ufalme na kweli Mungu alimbariki akawa mfalme sasa wanataka kusema kwamba kuua siyo dhambi tena kwa sababu tu Suleiman aliua na Mungu akamsamehe? Ni wachache wanaojielewa kama wewe
Upande niliouzungumzia ni upi?Mkuu ulichokisema ni umezungumzia upande mmoja nafikiri pamoja na mwisho wa ushauri wako umezungumzia upande mwingine ila ungeshusha NONDO pande zote ili kila atakayesoma imguse yeyote yule... Unless otherwise awe hana jinsia kati ya hizo zote mbili... Asante ni mtazamo wangu tu....
Sasa sikupi andiko bali nakupa maandiko ambayo yanaonyesha kwamba Mungu alitaka ndoa ya mume mmoja na mke mmoja tuMkuu ukiona Mungu kalitolea maelezo jambo fulani kulisapoti ujue tayari kaliruhusu mbona unashindwa kuelewa mantiki ya teolojia.
Ili uone kama karuhusu ndio maana alitoa sheria isemayo Kuhani au askofu awe mume wa Mke mmoja. Kumaanisha wasio maaskofu na makuhani wanayoruhusa ya kuoa wake zaidi ya mmoja.
Sasa unakwama wapi. Mtu akitaka kuoa wake wengi anaruhusiwa kwa utaratibu maalumu ili kuepusha zinaa.
Haya embu nipe andiko linalosema mtu awe na mke moja mbali na lile linalomhusu Askofu.
Daah wewe mkuu hebu endelea tu na mambo mengine maana kile ambacho ninakwambia usifanye ndo unafanya nimekwambia USINITOLEE MIFANO YA BINADAMU WALIOFANYA HIZO DHAMBI NIPE ANDIKO LILILOSIMAMA PEKE YAKE AMBALO MUNGU KARUHUSU KUSALITI NDOA AU KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA tukianza kutolea mifano ya kila mtu na dhambi zake tujikuta tunahitimisha kuwa kila kitu siyo dhambi maana pia wapo wanawake walikuwa makahaba na waliolewa na wanaume zaidi ya mmojaMbona umesoma sehemu moja pekee wakati nimekupa vifungu viwili!?? Ngoja nikuongezee upate home work ya kutosha kwa leo. Kuoa wake wengi au kuchepuka kwa mwanaume siyo issue mkuu soma pia hapa.Mwanzo:29:15-35. Yakobo mbali na kuoa mabinti wawili wa labani,lkn bado aliwatafuna hata wafanyakazi wa ndani.
Kwahiyo hao ulionitajia ndo Mungu au? We mbona umekazania mifano ya binadamu hebu lete andiko linaloeleweka bwana acha kumbwelambwelaMwanzo.26:34-35 inazungumza habari za Essau kuoa mke wa pili mbona hujasoma ukiacha hiyo ya ibrahimu!?? Huyo Essau ukisoma huko mbele alioa hadi mke wa tatu. Nimekuwekea hapo usome pia habari za yakobo kuoa mke zaidi ya mmoja.
Hebu acha basi kutaka kuleta miujiza hapa..hayo maandiko si yanatoka kwenye Biblia!?? Kwani Biblia si ni kitabu cha Mwenyezi Mungu!?? Kama Biblia inajipinga kwamba kuna sehemu inayohusu binadamu tu na kuna sehemu inayohusu wanadamu tu tuishie hapa. Biblia nzima hakuna mahali hata fungu moja aliloandika Mungu. Biblia yote ni mkusanyiko wa vitabu vilivyoandikwa na wanadamu. Halafu hao wanadamu waliohusika wewe unawakataa unataka andiko la Mungu tuletee basi wewe andiko la Mungu.Kwahiyo hao ulionitajia ndo Mungu au? We mbona umekazania mifano ya binadamu hebu lete andiko linaloeleweka bwana acha kumbwelambwela
Hebu acha basi kutaka kuleta miujiza hapa..hayo maandiko si yanatoka kwenye Biblia!?? Kwani Biblia si ni kitabu cha Mwenyezi Mungu!?? Kama Biblia inajipinga kwamba kuna sehemu inayohusu binadamu tu na kuna sehemu inayohusu wanadamu tu tuishie hapa. Biblia nzima hakuna mahali hata fungu moja aliloandika Mungu. Biblia yote ni mkusanyiko wa vitabu vilivyoandikwa na wanadamu. Halafu hao wanadamu waliohusika wewe unawakataa unataka andiko la Mungu tuletee basi wewe andiko la Mungu.
Sasa sikupi andiko bali nakupa maandiko ambayo yanaonyesha kwamba Mungu alitaka ndoa ya mume mmoja na mke mmoja tu
Moja Mungu aliona kwamba si vema Adam awe peke yake akamfanyia msaidizi wake akamlaza usingizi kisha akautoa ubavu wake mmoja na akautumia kumuumba mwanamke mmoja tu naye ni Evah na hakumuongezea mke mwingine
Mbili mwanamume atawaacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja kumbuka ni mkewe siyo wakeze
Tatu mwanamume ampende mkewe na mwanamke amtii mumewe kumbuka tena ni mkewe siyo wakeze Nne kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe
Haya hayo yote ni maandiko nimeyatoa kwenye biblia kiufupi vile ambavyo Mungu alimuumbia Adam mwanamke mmoja tu ambaye ni Evah ndivyo alivyotaka ndoa zote ziwe hiyo ya kusema karuhusu makuhani na wachungaji tu ndo uone jinsi gani alivyoweka msisitizo kwamba kuwa na mke mmoja ndo muhimu
Kwahiyo wewe ubavu wako ni mwanamke mmoja tu na siyo zaidi hao wengine utakaowaongeza utakuwa unawadanganya wao na unajidanganya wewe pia na ukibishia hayo maandiko maana yake unabishia kwa jinsia zote mbili na nimekwambia Mungu hawezi kuhalalisha dhambi eti hata ingekuwa imefanywa na nani au na watu wengi kiasi gani yeye siku zote atasimamia amri zake tu
Mkuu hebu acha basi kutulisha matango pori..! Kwenye hilo andiko lako Biblia inasema Adamu na Eva waliwazaa Kaini na Abel. Hebu tuambie wao nao waliumbiwa mwanamke au walioa wapi maana Biblia inataja uzao wao tu au walikuwa wanamgonga mama yao!?? Hebu tuambie Kaini alizaa na nani!??Hebu soma hiyo post yangu hapo juu nimetoa mifano ya maandiko ambayo yalitolewa na manabii na mitume wa Mungu ambayo ni kama ujumbe ambao walitakiwa waulete duniani kwa wanadamu wengine hata kina Solomon walikuwa ni manabi
Lakini wao kuoa wake wengi haukuwa ujumbe waliotumwa waulete duniani bali hayo yalikuwa ni matendo yao binafsi ambayo yalikuwa ni dhambi na ndo maana walikuja kutubu hizo dhambi tofautisha na kina mtume Paulo ambao walikuja kusambaza injili yaani ujumbe jinsi Mungu anayotaka binadamu waishi
Mkuu hebu acha basi kutulisha matango pori..! Kwenye hilo andiko lako Biblia inasema Adamu na Eva waliwazaa Kaini na Abel. Hebu tuambie wao nao waliumbiwa mwanamke au walioa wapi maana Biblia inataja uzao wao tu au walikuwa wanamgonga mama yao!?? Hebu tuambie Kaini alizaa na nani!??
Ninapowashangaa wanawake ni 1. Mnazaa watoto wote,lakini nyie wanawake utasikia watoto ni mwanaume,kwa nini watoto wawe ni mwanaume wakati mmezaa wote? Au ndio namna ya kumshika huyo mwanaume kwamba watoto ni wake? Kama ni wake anawapamba wapi? Mbona mnawaringia wote halafu na mwanamke unasema una watoto kadhaa? Kwa nini usiseme ni watoto wa mwanaume? Wakikua watoto na kuanza kazi mtu wa kwanza kumkumbuka ni mama. Kwa nini mnawavisha kilemba cha ukoka?