Ujumbe kwa wanaume wanachuo

Ujumbe kwa wanaume wanachuo

Mkuu mimi mshikaji wangu kabsa kpindi tupo chuo aliweka mtoto ndani yan alikuwa kama ameoa vile matokeo yake amepiga mimba kwao mtoto kafukuzwa alafu alikiwa certificate ilikuwa ni shida kwa iyo ao wadada awajielewi wacha wanyooshwe na ulimwengu.

ivi kama hana hela ya kujikimu atafanyaje kama sio kutafta sehemu ya kujiegesha
 
ivi kama hana hela ya kujikimu atafanyaje kama sio kutafta sehemu ya kujiegesha

Mkuu ilikuwa ni shida sana jamaa alikuwa anapata bumu lakn bumu lilikuwa alitoshi maisha yalikuwa magumu vbaya mno lkn mungu mkubwa chuo alimaliza sasa sijajua cjui wameoana au laah..
 
Habari

Kwa wale wanaume wanachuo wote ambao wamepanga na wamechukua mabinti za watu wanachuo na kuishi nao. tunaomba muwe wastaarabu na wenye huruma, watoto wa watu wamekuja kusoma nyie mnawafanya wake zenu,wanawapikia, kufua, kudeki na hata kuwaogesha, lakini bado mnawanyanyasa kwa kuwapiga utafikiri mmeshaoa kabisa.

Akichelewa tu kurudi kosa vibao na mateke, akisema leo sitaki naniliii vibao na kumlazimisha, yani mnapiga kama vile mmeshalipia mahali. mnasababisha hata maendeleo kimasomo kushuka.Tafadhali jamani msiwanyanyase kuweni na huruma au msubiri kuja kuwapiga wake zenu.

Kinachosikitisha zaidi mnawapiga na mkimaliza chuo ndio imetoka hiyo eti unaenda kutafuta mke mwema mbele ya safari vibaya sana,sijabuni nimeona sana jinsi wadada wanavyonewa.

Be kind you men.

Kwa Uzi Huu Nina Uhakika 100% Kuwa Wewe Ni Mhanga Wa Hii Kitu? Ni Njaa Zenu Ndizo Zinawafanya MGEGEDWE na MTESWE Hivyo....Mkome! Someni Hizo Starehe Zipo Na Mtaziacha.
 
Kwa kweli wazazi tuna kazi.Mimi nlishuhudia wanachuo watatu wa jinsia tofauti wamepanga chumba kimoja.Mdada mmoja na Wakaka wawili!
 
Teh teh teh... Morning glory ukiwa chuo taaaaamu sana. Unapata fresh mind ya kusongoka. Na jion hamna kitu kizuri kama chakula ya usiku, yaan inakufanya unalala kama mtoto. Mwili unajichuja na kupoa swaaaafi.

#mapenz moyon, akili kichwan.

Ukiwa weka mapenz kote jiandae kuumia.
 
Kweli what you are saying lakini hao women pia ni consenting adults s they have to see their self worth and quit hayo maisha.
 
Kweli what you are saying lakini hao women pia ni consenting adults s they have to see their self worth and quit hayo maisha.

hayo mambo yote wanafundishwa darasani na wanayajua, maybe its human nature
 
Wapigwe tu siwana jileta wenyewe na wengine wanapigwa mimba sana hata wazazi wao hawajui wakimaliza chuo wazee wanasapraizika na mjukuu!
 
Kwani wanalazimishwa si wanapenda kwa utashi wao na wale ni watu wazima.
 
Waache kujiaibisha kwa kuishi na wanaume ambao si waume zao ni fedheha za kujitakia tu.
 
Habari

Kwa wale wanaume wanachuo wote ambao wamepanga na wamechukua mabinti za watu wanachuo na kuishi nao. tunaomba muwe wastaarabu na wenye huruma, watoto wa watu wamekuja kusoma nyie mnawafanya wake zenu,wanawapikia, kufua, kudeki na hata kuwaogesha, lakini bado mnawanyanyasa kwa kuwapiga utafikiri mmeshaoa kabisa.

Akichelewa tu kurudi kosa vibao na mateke, akisema leo sitaki naniliii vibao na kumlazimisha, yani mnapiga kama vile mmeshalipia mahali. mnasababisha hata maendeleo kimasomo kushuka.Tafadhali jamani msiwanyanyase kuweni na huruma au msubiri kuja kuwapiga wake zenu.

Kinachosikitisha zaidi mnawapiga na mkimaliza chuo ndio imetoka hiyo eti unaenda kutafuta mke mwema mbele ya safari vibaya sana,sijabuni nimeona sana jinsi wadada wanavyonewa.

Be kind you men.
Mama pole kama walishakusasambua!!!

Ndo mkome na viherehere vyenu, watoto wadogo mnatoka huko mtokako na vinanihii vyenu vinawawasha mifika tu huko lazima vikunwe!! Mnayataka wenyewe!!
 
wanajitakia wenyewe wasichana, utakuta umemleta gheto kwa cku moja Mara anakumbia , baby naomba niache hii nguo yangu nitaifwata keshoo...... kesho akija! baby naomba niweke na hizi nanii Mara unashangaa kasheleta begi zima. acha watafunwe!!
 
wanachuo wengi bongo wanawaza ngono kuliko kitu kingine chochote, sio mabinti sio wakaka, very hard kwa kweli..
Wapi naweza pata mwana chuo mmoja (mdada) for a short period of time?
 
Mbona mnatupia lawama upande mmoja tu, hivi wanaume mkiacha kutongoza na mkakataa kutongozwa na hawa wanawake kuna kitakachoendelea? Mabadiliko yanatakiwa kwa wote na si kwa jinsia moja.
Ngono kwa wanafunz haitakiwi, tuchukue hatua.!

Umeongea kitu kisichoweza kutokea......wanaume wameumbwa kutongoza....usibishane na nature.
 
SIKU hizi wakifika mwaka wa mwisho wa masomo ndo inakuwa hatari kabisa....wanawang'angania wenzao kama luba...kisa wanatafuta PMU (pata mimba uolewe). Wakati mwingine nao wanawafanya wenzao kushuka kimasomo.

Wimbo wa Mbalaka Mwinyishehe, bado unamanti...Msichanganye masomo na uzinzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom