[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji817] [emoji817] [emoji123] [emoji123]Kutoka kwa Mrs Mshana JrView attachment 737831
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakuu kasema ujumbe kwa mmewe sio kwenu, so hamna haki ya kuujadili zaidi ya kuomba MUNGU na nyie mpate jumbe maridhawa kama hii toka kwa wachumba zenu wa JF
Atiii[emoji35] [emoji35] [emoji36] [emoji35] [emoji36] [emoji35] [emoji36] [emoji35] [emoji35] [emoji36] [emoji36]Shemej zima taa
[emoji817] [emoji817] [emoji779]Duh Nlikuwa sjui ....mshana mwanangu Kichizi anyway Hongera shemeji
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mtarimbo umepata chubwiHapa kaka umepatikana
Man To Man
Hata chance ya kwenda pale maeneo yetu kupata 1baridi 2 moto hakuna tena
Kila dakika miss calls tu[emoji1321]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bro Mshana lazma na mimi anipe hako kamzizi
Na kakuku kangu kakienyeji leo mwezi wa3 hata busu hataki nimpe
Hapa lazma Tufanye mchanganuo wa Plan “B”
Kila Abiria Achunge Mzigo Wake[emoji1321]
We are we
Ilijipost Mkuu samahani sana,ushemej uko vile vileAtiii[emoji35] [emoji35] [emoji36] [emoji35] [emoji36] [emoji35] [emoji36] [emoji35] [emoji35] [emoji36] [emoji36]
Tunaomba mturushie kidogo picha za Harusi.Ili Na wasioamini watu kuoana humu waamini Na wafanye kweli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hakuna tena kwenda chimbooo
Zinaweza kupigwa kipapaiTunaomba mturushie kidogo picha za Harusi.Ili Na wasioamini watu kuoana humu waamini Na wafanye kweli
Haaaaaa haaaaaa acha kuamini mambo hayo we si mganga utaziganguaaaaaa( Tunaombeni picha au mjikate vichwa but tuone uhalisia)Zinaweza kupigwa kipapai