Ujumbe kwa Mme wangu Mshana!

Ujumbe kwa Mme wangu Mshana!

Hapa kaka umepatikana
Man To Man

Hata chance ya kwenda pale maeneo yetu kupata 1baridi 2 moto hakuna tena
Kila dakika miss calls tu[emoji1321]
 
Bro Mshana lazma na mimi anipe hako kamzizi
Na kakuku kangu kakienyeji leo mwezi wa3 hata busu hataki nimpe
Hapa lazma Tufanye mchanganuo wa Plan “B”
Kila Abiria Achunge Mzigo Wake[emoji1321]
 
Bro Mshana lazma na mimi anipe hako kamzizi
Na kakuku kangu kakienyeji leo mwezi wa3 hata busu hataki nimpe
Hapa lazma Tufanye mchanganuo wa Plan “B”
Kila Abiria Achunge Mzigo Wake[emoji1321]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umenichekesha sanaa
 
Back
Top Bottom