Ujumbe kwa mabinti wanaotaka kuolewa

Ujumbe kwa mabinti wanaotaka kuolewa

Hako ka clip ka Mlima wa Moto Ni Moto kwelikweli.

Kana mabinti wa sampuli zote wenye na wasio na makalio,weupe kwa weusi,wembamba kwa wanene.

Siamini kama mwanamke kuolewa ni majaaliwa,kinachowaponza hawa mabinti ni negligence.
 
Nakuunga mkono asilimia mia moja
 
Kuna kanisa moja nilienda wadada wakawa wanalia cha ajabu hata alienialika alikuwa analia wakati nilimwambia nimuoe akakataa; nikabaki kula tunda tu
Wanawakataa wanaume afu wanaenda kulia mlima wa moto
 
Hako ka clip ka Mlima wa Moto Ni Moto kwelikweli.

Kana mabinti wa sampuli zote wenye na wasio na makalio,weupe kwa weusi,wembamba kwa wanene.

Siamini kama mwanamke kuolewa ni majaaliwa,kinachowaponza hawa mabinti ni negligence.
😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣 subiri uzae mtoto wa kike.
 
Marriage request zikifika mia tatu ntaoa, now ziko kumi tu 😂😂
 
Nawasalimuni nyote!

Naomba ku declare interest kuwa nimeoa

Baada ya hapo naomba niwakumbushe mambo ya muhimu mabinti wote mnaosaka ndoa
kabla ya kwenda kulia makanisani au kwa waganga tambueni kuwa:-

1. Hakuna mwanaume anayetoka mbinguni kuja kukuoa, mwanaume wa kukuoa ni huyo wa mtaani kwako, schoolmate au co worker. Ni kawaida sana kwa ninyi kuwadharau na kuwatolea lugha mbovu hao wanaokuzunguka. Nyie ndio mnaodai huyo sio wa hadhi yangu. Mwishoni unaenda kulia madhabahuni au kwa waganga wa kienyeji!! Sasa wewe baki ukiwadharau wanaokuzunguka uone kama hautaishia kulia makanisani kila siku.

2. Jiheshimu na heshimu wenzako. Binti unapaswa kujiheshimu kwa kila kitu. Sio mtaani hata uvaaji wako ni wa hovyo. Kuna wanawake ukiwaona tu ni wife material just kwa kujiheshimu kwao.

3. Tengeneza mahusiano na watu sahihi. Wapo wanawake ambao huwa na mahusiano na waume za watu. Hapa unategemea ndoa gani..

4. Epuka tamaa ya mali maana wengine mnajifanyaga kutaka wenye magari na fedha. Utasikia mtu akisema siwezi kuolewa na huyo hana mbele wala nyuma. Just be normal maana mali na fedha huja baadaye.
Njia rahisi isiyo na gharama ni kwenda kusali Mlima wa Moto.
Kisulisuli kinaleta wanaume wa kuwaoa.
 
Back
Top Bottom