mikononyuma
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 641
- 604
Yaani avatar yako imefanana na ustaarabu wako humu ndani ya JF. Kama iyo avatar ni muonekano wako na haujaolewa naomba niwe mumeo tafadhali.
MkuuMikono nyuma
Unataka jiko mkuuMkuu
Yaani tukifanikisha unapata zawadiNaomba ushenga....
Mkuu mbona unachekaHaha
Mkuu KANA!!!!!Love is in the air, let me hold my breath!

Swadakta..Yaani tukifanikisha unapata zawadi
Hamna me niki-try to come inagoma that why I beg u to start quote me.... Mjanja sana wewe
