Duh pole sana hii inaonesha bado akili za kitumwa zimejaa kwenye familia, yaani mke haonekani kama mwenza bali ni mtumwa tu. Sasa suali langu hivi mumeo akija kwenu hupewa kazi gani nae aonekane anafaa na yupo ngangari?Kaka amini hayo ndo tunayokutana nayo ukweni, hata likizo ya mwezi wa 12 huwa hatuendi kupumzika ukifika unakabidhiwa mkungu wa ndizi, mbuzi mzima, kuku 3, maini kilo 3, mchele kilo 5 unaambiwa upike.
Usisahau kutengeneza juice na kuhakikisha kuwa soda za baridi.
Unawatengea mezani, unawawanawisha, unawapakulia wanakula baada ya hapo ndo kidogo mawifi au waliopo watajiongeza kuosha vyombo.
Mkuu familia za kimaskini ndio zina mambo haya wenye hela zao haya mambo hakuna kabisa.Mwanaume ukienda ukweni ni kuonesha jeuri ya pesa! Yeye akija kwenu ni kuonesha maujuzi ya kupika na kutunza nyumba
Mkuu mwanaume ukienda ukweni onyesha jeuri ya pesa, hakikisha mama mkwe hatoi hata mia .Duh pole sana hii inaonesha bado akili za kitumwa zimejaa kwenye familia, yaani mke haonekani kama mwenza bali ni mtumwa tu. Sasa suali langu hivi mumeo akija kwenu hupewa kazi gani nae aonekane anafaa na yupo ngangari?
Ndukiiiii![]()
Sie wote asilimia 99 hapa JF ni hizo familia. Nawe ni ghaleghaleMkuu familia za kimaskini ndio zina mambo haya wenye hela zao haya mambo hakuna kabisa.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Ila mnawasingizia hakuna mdada atafanya huo ujinga labda bongo movie
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh pole sana hii inaonesha bado akili za kitumwa zimejaa kwenye familia, yaani mke haonekani kama mwenza bali ni mtumwa tu. Sasa suali langu hivi mumeo akija kwenu hupewa kazi gani nae aonekane anafaa na yupo ngangari?
Ndukiiiii
Mkuu familia za kimaskini ndio zina mambo haya wenye hela zao haya mambo hakuna kabisa.
Ndukiiiii
Ghaleghale ndio nini?Sie wote asilimia 99 hapa JF ni hizo familia. Nawe ni ghaleghale
Misemo ya kihenga! Yale yaleGhaleghale ndio nini?
Mimi sikumbuki kumuona mama au sister kuambiwa akapike tukienda kutembea upande wa baba au hata kwao yeye mama. Manake tokea nina miaka 5 ndani kwetu kuna wafanyakazi wawili. Mpaka hivi sasa kuna wafanyakazi na ikitokea kwenda kutembea huwenda nao na huko tunapokwenda wanakuwepo wafanyakazi. Labda tumekulia tofauti na familia zengineWho told you that? familia zote hivo hivo kwanza sisi wenyewe huwa tunafanya hayo makazi kwa moyo mkunjufu na kwa fahari kubwa, moyo mkunjufu huwezi kuwepo mama mkwe akapike, mkamwana atulie haiwezekani aisee.
Na kama akipika unapata wasiwasi au hapendi chakula changu?
au sijui kupika? amani inakosekana.
Nimetaka kutumia picha PM yako lakini haikubaliMisemo ya kihenga! Yale yale
Ukimtumia Mama Sabrina itanifikia, nilisahau password yangu ya PMNimetaka kutumia picha PM yako lakini haikubali
Mama Sabrina sie aliesema ghaleghale nimetaka kukuonesha hayo maisha ya ghaleghale.Ukimtumia Mama Sabrina itanifikia, nilisahau password yangu ya PM
Yani haiwezekani mwanamke wa kiafrika akafanya hayo mambo yani haitotokea labda bongo movie.. HV huyu MTU anavyoongea hivi anafikiri watu hatuna madada nyumbani.. Kwanza wanawake wanapenda kupikaWho told you that? familia zote hivo hivo kwanza sisi wenyewe huwa tunafanya hayo makazi kwa moyo mkunjufu na kwa fahari kubwa, moyo mkunjufu huwezi kuwepo mama mkwe akapike, mkamwana atulie haiwezekani aisee.
Na kama akipika unapata wasiwasi au hapendi chakula changu?
au sijui kupika? amani inakosekana.
ila jamani tuache utani yale matako club unaweza ukaona isiwe tabu ni huyu huyu ...alafu wanawake wa namna hiyo wajaja...full burudani kitandani mpaka unasema kupika kitu gani bwana. nitakula kwenye mighahawa hahaha








