Ujumbe Kwa CloudsFM na Gerald Hando


Hicho kipindi kilikufa baada ya "vichwa" wawili kutoka pale. Kipanya na hasa Fina Mango. Huyo Hando ndio aliwasaliti hao wawili hadi wakafukuzwa kazi. mwisho wa CCM ndio mwisho wa Radio hii
 
Hata akiwatukana wabunge Magamba , hawathubutu kumwita bungeni kama walivyofanya kwa Mama Teri. Gamba linazidi kunyauka.
 
Clauz dhaifu,gerad dhaifu,kibonde dhaaaaiifuuuuuuuuuuuuuu,shame on you wote wenye fikra za chama kimoja.
 
Tatizo ni shule, wachumia tumboni hao...
 
Kama kumbukumbu zangu hazinidanganyi huyu jamaa ndo aliwasailiti akina Fina Mango na Kipanya katika kitu walichokusudia kukifanya kwa pamoja pamoja,so historia inaonyesha huyu jamaa ni wa kuogopwa ,in short ni mnafiki sana.Mimi nilishaachaga kusikiza hii redio ya chama zamani sana.
 
Mengine sijui lakini kwa hili alilosema asubuhi nadhani mtoa post hajamtendea haki. Nasema hivyo kwa sabb nimemsikia vizuri Gerad na msingi wa hoja yake ilikuwa kwa wabunge na mawaziri wa ccm kumchangia pesa mwiguru kwa matusi aliyochangia juzi. Then alijaribu kuonesha kuwa sio vyema wabunge kujadili watu badala ya kujadili bajeti. Namlaani kwa kusema kuwa Mnyika (ingawa hakumsema kwa jina) kamkosea adabu JK, kwangu nadhani Mnyika alitumia busara ya juu sana kumuelezea huyu raisi wetu, hakuna namna nyingine ya kumuelezea zaidi ya kusema kuwa ni "raisi dhaifu", kama ipo watuambie!!!!!!
 
huwa kuna wakati narudi nyuma na kujiuliza ilikuwaje Sugu akafanya suluhu na watu wa aina hii wanatafuta kula yao wanajikomba popote mradi maisha yao yaende??????? Ilikuwa Wafu Fm sijui imefufukaje??
 
Kosa lako ni kusikliza hiyo radio.

Sasa angalia alivyo kukera,yan ungekuwa na mke mwenye mimba si ange kereka mpaka mimba ingetoka.
 
Ili usipate pressure za bure, sikiliza kipindi cha leo tena kama unaona ni lazima kuisikiliza radio clouds!!
Watangazaji wengi wa wafu fm pamoja na mmiliki wake wameshajidhihirisha siku nyingi wako upande wa serikali ya raisi dhaifu, sasa sijui hapo mtu utategemeaje maoni tofauti kutoka kwao.
 
Gerald Hando kasema ukweli.

Kasema kweli kwaqmba yeye ni rubbish brainless au una maana nyingine mimi najua hana ufahamu na hajui athari za meaneno yake machafu kwa taifa letu
 
Kosa lako ni kusikliza hiyo radio.

Sasa angalia alivyo kukera,yan ungekuwa na mke mwenye mimba si ange kereka mpaka mimba ingetoka.

Mkuu umenena ni kweli hata mke wangu amekasirika kwa upuuzi wake
 
Hao wakina Gerald Hando na baadhi ya wafanyakazi wengine wa Cloudsfm wanaamini kuwa nidhamu ya uoga, kujikomba-komba na kujipendekeza kwa mkuu ndio suluhisho la matatizo yao binafsi, inawezekana ikawa kweli. Ila Taifa alitajengwa kwa mawazo yao mgando. Tunahitaji watu wenye uthubutu wa kusema ukweli uliopo :sad: hatakama itawagharimu maisha yao kwa manufaa ya vizazi vijavyo !
 
Alikua analilia ukuu wa wilaya kumbe yupo serious!
Clouds wanajikomba sana kwa kuandaa vishereha vya birthday za hao wadhaifu!

Nami nilisikia siku hiyo alivyokuwa analalamimika kukosa ukuu wa wilaya. Ukiona hivyo kuna kitu kaahidiwa na mzee dhaifu
tusikilizie siku za karibuni tuone
 
Kwa fikra kama za Hando, bila shaka meya Masaburi hatakosea kama akisema huyo mtangazaji anafikiri kwa kutumia makalio! Tehe!tehe!
 
Kwani lazima usikilize Clouds FM. Mbona kuna Redio nyingi.

mkuu tatizo sio mleta mada kusikiliza, tatizo ni nini kinatangazwa ili watu wasikilize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…