Ujumbe kutoka tanesco

Ujumbe kutoka tanesco

nash2010

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2010
Posts
624
Reaction score
216
Huu hapa!

tanesco.jpg
 
Nalalamika kwa kuwa hata kijijini kwetu upo.
 
Huu ni uhuni mbona yaani kwenu mteja ---- badala ya kuwa MFALME
 
Maisha ya shamba yanajulikana na ya mjini yanajulikana, ndio maana watu wamekimbia shamaba kufuata umeme mjini,lol!
 
hilo si hoja ya msingi kwani, gari hata baskeli iko siku inapata pancha au chuma kikatike ( MASHINE ZIMEHARIBIKA NA WANASUBIRIA FUNDI)
 
Hivi huyu mtu anajua weledi wa huduma kwa wateja?
 
Hii kauli kama kweli ni ya TANESCO basi aliyetoa kauli hiyo anatakiwa aachie ngazi hii ni dharau kwa WATANZANIA ambao uchumi wao unategemea umeme kauli hizi na dharau hizi zinatoka wapi? kwa kauli hii ambao wamezaliwa mjini hawalalamiki na huduma hii mbovu ya umeme? hawa wahuni walioko TANESCO wamechoka, wameshindwa kazi hawana jibu kwa nn umeme haukidhi mahitaji ya watanzania wanatakiwa waachie ofsi yetu.
 
Kijijini hakuna kwasababu pia umeshindwa kuwajibika.
 
Mkuu, hili ndilo tatizo la monopoly katika biashara!! Wengekuwepo zaidi ya mmoja ungeona ufanisi!!

mkuu kwa mashirika ya uma hakuna kitu hata waje washindani yatabakia yale yale, mfano mzuri ni ttcl na atcl.
 
mkuu kwa mashirika ya uma hakuna kitu hata waje washindani yatabakia yale yale, mfano mzuri ni ttcl na atcl.

Aise kweli mkuu nash2010. Yaani kwa hakika tuna laana au niseme ni kitu gani? Tatizo tunaiba mno!! Kila mtu ameshakata tamaa anabaki kukwapua tu!! Wanakuambia mbona wakubwa wanauza nchi kwa wawekezaji? Ha ha ha!!
 
...nilitegemea mjini pawe tofauti na nilipotoka
 
Nikikumbuka ile kauli ya nanii huyu aliyesema MGAO WA UMEME TANZANIA UTAKUKUWA HISTORIA hahahaha
 
Back
Top Bottom