Ujumbe kutoka tanesco

Ujumbe kutoka tanesco

Kabla hamjapewa majukukumu mlikuwa ma bubu, sasa hivi mnachonga sana. Tunataka umeme ni haki yetu.

tanesco.jpg
tanesco!!!!!!
 
Nadhani hawa hawafai kuwa viongozi. Vijijini kuna umeme pia. Hata kama hakuna umeme,kwani huo umeme hapo mjini uliwekwa ili ukatike kila mara? Nadhani aliyetoa kauli hiyo anapaswa kushulikiwa kisheria
 
Jamani yani tunadai haki yetu alafu kampuni inatutukana?

Ni nani anawapa kiburi hawa kenge?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom