toroka uje mjini
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,584
- 2,118
Na baadhi pia kudiriki kusema "NDANI YA CHADEMA WOTE TAKATAKA KASORO TUNDU LISSU"
Kwa mtazamo wangu huenda hayo maneno ndio yaliokufanya uhame chama
Kuna watu wengine wakisikia mwenzao akisifiwa saana kwa utendaji wake wa kazi wanaona wivu saana na kujiskia vibaya saana japo wote wapo pamoja
Ukiwaza na ukifkiria jinsi unavyotoa hela kwenye chama,jinsi unavojinyima na kudiriki kuingia mikopo ya benki ili uonekane tu wewe ndio kibopa mwenyewe,,halaf papo hapo majamaa yanamsifia lisu tu kila kona anaongelewa lisu tu
Mwishoe ukaona sasa kaeni nae huyo lisu wenu[emoji3][emoji3]
Ukaamua kujikataa na kurejea kulee kuleee kuliko ungua shoka na mpini ukabaki[emoji3][emoji3]
Huo ni mtazamo wangu tu..Ungekuwa kapela,wana cdm wangeshasema na wewe umenunuliwa[emoji3]
Lkn kutokana na Proflie yako kujulikana wamepiga kimya tu.