UJUMBE KUTOKA BANK JUU YA MISHAHARA

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
17,437
37,062
ndugu mteja, acha usumbufu wa kuangalia salio mara kwa mara kwan unaweza kusababisha mshahara kuingiaa kwenye account ya mteja mwingine. Tafadhali hakikisha vyeti vyako kabla hujaangalia salio huenda ww ni incomplete!:

ni hayo tu.
tukutane kesho tarehe 24 kwenye kuchukua tu pesa twetu ambatwo tutaishia kulipa madeni kwa mangi.
 
Back
Top Bottom