Ujumbe huu unawahusu CHADEMA: Wekeni akiba ya Maneno, msiwahukumu Wazanzibar wala ACT-Wazalendo

SEMA BAADHI YA WAZANZIBARI SIO WOTE.
KAMA NI WOTE JE HAO WALIOKO MADARAAKANI NI KINA NANI?

WA OMAN AU WABARA?

TUNAJUA WAPEMBA NI WAFIA SULTANI NA WANA VINASABA NAE!

MANENO MEEENGI BADALA YA KUNYOOKA KWENYE POINT WEWE MLETA MADA UNAZUNGUKA MBUYU UKIBWABWAJA TU.

SEIF KISHA KATA MZIZI WA FITNA NENDENI MKAIJENGE NCHI SULTAN NAE KISHARUDI OMAN TOKA UINGEREZA NA AMEKUBALI YAISHE.
Hapa tukusaidie nini mkuu au sijaelewa.
 
Napinga Maalim Seif kuingia SUK , alichokikataa 2015 ni kipi na anachokikubali leo ni kipi ? na hata Chadema wakileta ubwege kama huu hatutanyamaza , ukitaka kuona umakini wetu mwangalie Mdee leo , hana tofauti na Ebitoke kwa jinsi mitaa inavyomuona.

Ni kweli tumekuwa pamoja kwenye mapambano kwa miaka mingi , lakini kwa hili tusameheane , haiwezekani watu wauawe kwa namna ile halafu tushirikiane na wauaji , tumuogope Mungu , Maridhiano kwenye Uhai wa watu hayawezekani
Mkuu pole na jitahidi kuvumilia usimalize maneno.

Siasa haitaki hasira. Kuna siku itakuwa kweli.

Tujipe muda ili kuwaprove wrong walioamua kujiunga SUK, tuweke hakiba
 
Unadhan anaweza kufanya ikiwa hcho cheo chenyew n geresha tu???just remember hyo nafasi aliyoipata haina impact yoyote kimamlaka
Kweli maalim ni game changer. Yaani Leo nimeamini watu walivyo wepesi wa kusahau.

Unaambiwa wahafidhina was CCM wanalia na kumlaani Mwinyi kwa nini asingewapuuza ACT hofu yao ni Maalim.

Huko upinzani nako watu wanafoka balaa.

Maalim huyu huyu akianza mambo take ndani ya SUK kwa maslahi ya upinzani watu watasahau haya.

Mimi nimeshauri watu waweke hakiba ya maneno tu. Wasimalize yote

Huyu mzee huwa anajuwa hesabu vizuri. Anajuwa wapi as use na kwa nini. Anajuwa wapi aridhie, wapi ashupae, wapi akemee, wapi adinde.

Naamini alijipa muda kuangaza note ndani na nje ya nchi. Hesabu zimeangukia ajiunge SUK. Mimi naamini si bure.

Muda utasema
,
 
Back
Top Bottom