Ujumbe: Hakuna aijuaye Kesho...!

Kuomba jirani yako tajiri afilisike hakukufanyi kuwa tajiri ghafla wala yeye kushuka na kuwa fukara kama wewe hakukupandishi hadhi hata kidogo.
 
Mkuu hapo kwenye uchaga ondoa,nimekaa pale zaidi ya miaka 12,ukabila na kubebana uko sana hasa kwa ndugu zetu kutoka kanda ya ziwa wasukuma,wahaya n.k
 
Kweli kabisa lakini ni matamanio yangu tuache kujadili watu bali tujadili issues,kati ya vitu ambavyo kiongozi yeyote anatakiwa kufanya ni kubadili jinsi watanzania wanavyofikiri
Tufikirie kuhusu Wachagga? Wtf! Wangapi wako mahakama ya mafisadi pale?
 
Umenena kweli Lowasa Chadema walimtukana na kumwita fisadi leo ndio bosi wao anaongoza Chama
Mbaya ni pale unapojitangaza unapambana na Rushwa na Ufisadi, mpaka ukaweka na Mahakama ya Mafisadi, halafu bila aibu unatuambia Mahakama imekosa kesi, wakati kuna Escrow, Lugumi, Meli Chakavu ya Bln 8, Makontena Bandarini, Nyumba za Umma, Radar, Richmind\Dowans, Kiwira, Kagoda, Meremeta, EPA.
 
Ukiona mtu anaanza kukimbilia ukabila ujue huyo amefilisika hoja. Hata hivyo Mr.Tangata unyake wasu, siyo mchaga. Huu ulevi wa makabila na chuki visipokemewa tutazalisha mabomu huko mbeleni.
 
Acha akili mgando wewe, mkiona watu wanafanikiwa roho za korosho zinawauma sana, ulitaka umuone mhasibu anatembea kwa miguu na kuishi chumba kimoja cha kupanga, hapo ndiyo roho zenu za korosho, zinaburudika kabisa, hii nchi hii
 
Kwel bhna ni suala LA mda tu
 
Nonsense
 
Vumilia tu mkuu,kila zama na nyakati zake,ukizingatia mwisho wa mwaka huu,ada ya watoto St.Marry Schools,Prado inataka kiwese kila siku,kodi ya nyumba,mapato TRA ya Prado lako,hujaenda kimboka,bi mdogo anataka viwalo vya kufungia mwaka,michongo imebuma,bado ule mkopo wa benki unasubiri,jamaa wa kukuazima milioni 20 kama zamani hawaonekani,kwanini MTU asiongee peke yake njiani kama amechanganyikiwa?Simple conclusion ni lazima aseme "Nonsense"kwa mawazo yaliyotolewa na mwenzake.
Penye mageuzi sehemu yoyote duniani maumivu huwa yapo,hata nchi za dunia ya kwanza walipo sasa hivi kuna watu waliumia sana.

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Sem
kwa wenye akili wamekuelewa mkuu
Sema wasiokuwa na aki
Acha akili mgando wewe, mkiona watu wanafanikiwa roho za korosho zinawauma sana, ulitaka umuone mhasibu anatembea kwa miguu na kuishi chumba kimoja cha kupanga, hapo ndiyo roho zenu za korosho, zinaburudika kabisa, hii nchi hii
Tu nataka apate pesa kihalali siyo wizi na ujanja ujanza. Kwani mishahara yenu hatuijui. Mbona mwalimu hajengi nyumba na magali fastafasta hivyo
 
Viongozi wa ccm ndio wezi wa rasilimali za nchi. Wakiongozwa na Rugemalila na mzee wa msoga.
Basili mlamba aliwapa ulaji sana wachaga. Kila sector akawajaza nyie tu. TRA na wizara yote ya fedha ni nyie tu hata kama hamna vigezo na competence yenu iko chini. Ndo mana wachaga ndo wanaongoza kuilalamikia serikali makini ya jpm. Akina malisa, peter mtenga na wengineo wote wamechangiwa ndo mana kila kukicha ni matamko kwenye mitandao
 
Yeye hakuiba rasilimali za umma tangu enzi za Mkapa hadi za Kikwete?
Burden of proof unayo wewe muulizaji. labda utupe ushahidi cz Lowassa kwenye kampeni hatukumsikia akisema magufuli ni fisadi. Hakupenda kutamka hata neno fisadi..,
 
Gujalati kama si Gujarati,leo umelalaje aisee mekuu,kifudifudi au kimgongomgongo?Leo unatema nyongo,lakini kaukweli lazima kasemwe na kama kana chembe ya kaukweli lazima wanaoamini katika kaukweli watasema pale pana kaukweli,UMESAHAU NA BANDARI.Karibu mbege nipo hapa kiboroloni baada ya saa moja nitaenda pale ngulero karibu na patandi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…