UJUMBE HUU AUSOME Ndg. JULIUS MTATIRO
Na Kalisto Joseph
Wewe na kundi la CUF-Maalim Seif umejipa cheo cha Mwenyekiti wa Muda wa CUF. Najua kuna mvutano lakini uwehu unaoufanya mitandaoni nashindwa kuelewa ni Mwenyekiti wa Muda wa CUF au ni Mwenyekiti wa Muda wa kitengo cha instagram, whatsapp, facebook na tweeter.
Kutwa kucha mitandaoni unamtukana Rais, utukana Jeshi la Polisi, unatukana Usalama wa Taifa, unadhalilisha chombo muhimu JWTZ, achilia mbali wanasiasa walio tofauti na mlengo wako.
Nakuona mwehu kwa sababu sijaona anayekujibu hata mmoja.
Labda tukumbushane tafsiri ya mwehu. Mwehu ni mtu anayesemasema hovyo, kutoa kauli za kuudhi watu, kutukana, kufanya matendo machafu halafu kwa sababu jamii inamtambua ni mwendawazimu inampuuza na kuachana nae. Muda wote anabaki anafukuzana na watoto na kucheza naowakati mwingine, huku watoto wakichukua tahadhali kubwa kwa sababu kuna wakati akili zinaweza kumtuma jambo baya zaidi na akawadhuru.
Sasa ndg yangu wewe umesahau kuwa umejipa cheo kikubwa, umebaki unashambulia viongozi kwa unazi wako wa kisiasa. Hata hushtuki kama hakuna anayekujibu? Unapuuzwa kama anavyopuuzwa Mange Kimambi yule mwendawazimu aliyejificha Marekani na anaota kuwa ataendesha siasa za Tanzania kwa kutumia mitandao.
Hebu angali maandiko yako. Najiuliza hivi unavyowachokonoa hivi polisi lengo lako nini? Au unatamani ukung’utwe ili upate kiki ya kisiasa?
Yaani kwa mwendo huu ndio uwe ni kiongozi wa chama kinachotaka kuongoza nchi. Sipati picha hiyo nchi itakuwa nchi ya namna gani.
Yaani hapa ndio naona kwa nini wana CUF waliona bora ya Prof. Lipumba, hapa ndio naona kwa nini walikupiga chini ubunge.
Kutwa kucha wewe ni kutukana tu na kuwajaza watu hasira kwenye mitandao. Sasa hicho chama cha CUF ndio kinajengwa kwa mtindo huo, kweli Maulid Mtulia hakuwa na namna nyingine zaidi ya kutoka maana hilo lilishakuwa kundi lisilomfaa.
Halafu kesho na keshokutwa ukikamatwa kwa makosa ya mtandao ambayo na sheria ipo utaanza ninaonewa. Nani na wapi duniani huko unakowadanganya watu kuna demokrasia ya kweli wanafanya uwehu unaoufanya wewe hapa?
Huko Marekani unakokusifia mwaka jana pekee kulikuwa na matukio 35 ya mauaji ya kutumia bunduki, tena mengine ni mauaji ya watu wengi.
Juzi tu kuna mwanafunzi kaua wenzake 17. Marekani bunduki zinanunuliwa kama simu. Wewe kazi yako kuwatia hofu watanzania tu.
Najua utalisoma andiko hilo. Na nyie vyombo vya dola wakati mwingine mnatumia nguvu nyingi kukabiliana na matukio yanayochochewa na hawa wehu kama Julius Mtatiro why are you sparing these cantankerous.
Unajua tufike mahali kama Taifa tuwe na mwelekeo. Hii biashara wengine wanajenga wengine wanabomoa itafika mahali wenye nia ya kujenga watasema enough is enough. Wakati huo wehu kama nyie akina Mtatiro hamtamuona Polisi wala mwana usalama yeyote, tutawashughulikia sisi wananchi wenyewe.
Binti wa watu Akwilina (Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema) amepoteza maisha kwa upuuzi huu huu na uwehu wa akina Mbowe na akina Mtatiro.
Unawahamasishaje wananchi waandamane wakati unajua ni kinyume na sheria?
Unawahamasishaje watu waandamane wakati unajua kuwa Polisi watawapiga mabomu na mkiwazidi nguvu watapiga risasi za moto?
Unawahamasishaje watu waandamane wakati unajua purukushani zikitokea zitawaathiri hata wasio na ushabiki wa siasa?
Hivi mtoto mtukutu akihamasisha watoto wa mtaani waende kuogolea kwenye mto wenye mamba na kisha mtoto mmoja akaliwa na mamba, mwenye kosa ni mamba au ni mtoto mtukutu aliyewapeleka wenzake kwenye mto wenye mamba?
Unajua watanzania tufike mahali tukatae upuuzi na uwehu wa akina Mtatiro na Mbowe. Hawa wanataka kwenda Ikulu kwa gharama za damu za Watanzania. This is unfair!!!
Hatujiulizi kwa nini Mbowe na wenzake baada ya kuhamasisha watu waanze kuandamana wao walikimbia na kujificha?
Najua Mtatiro umenisoma na wengine mmenisoma.