Ujue wewe una mikosi!

Ujue wewe una mikosi!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
(1)Umeajiriwa kazi na kutimuliwa baada ya siku 30 bila malipo.
(2)Una-download kitu kinafika 99% kina-fail.
(3)Umenunua simu leo laki 3,kesho inaporomoka bei mpaka laki moja na nusu.
(4)Umetumia pafyumu kali lakini bado mwili wako unatema.
(5)Gari lako linakaa muda mwingi kwa fundi kuliko barabarani.
(6)Umesajiliwa kama beki katika timu fulani,mtihani wako wa kwanza ni kumkaba messi.
(7)Mtoto pekee uliyemzaa kawa kada wa CCM.
(8)Panya katafuna cheti chako cha chuo sehemu ya jina lako tu!
 
>Unapata 49.4% siku ya final exams. (just below the line).
>Gari ulilonunua kwa fedha za mkopo benki linaibiwa kabla hujaanza kukatwa marejesho.
>Umetumia c.ondoms kwa miaka 10 ukiogopa ngoma. Siku ya kwanza kupiga kavukavu unaambukizwa vvu.
 
HAPA UNAWAKUNA WENGI
>Umetumia c.ondoms kwa miaka 10 ukiogopa ngoma. Siku ya kwanza kupiga kavukavu unaambukizwa vvu.[/QUOTE]
 
Umetongoza demu kwa miaka miwili siku amekukubalia unagundua ni dada yako baba alipiga nje
 
Ime kamata dem mmezama mpaka ndingi lum umemnawa saaana dushelele ime cmama ile ana vua kufuli2 ooooohhh! Siku zakeeee! ( hedhi ) lazima upige nyeto hapo!
 
Unashusha mzigo wa haja halafu unagundua maji hamna na toilet paper imekwisha halafu upo ukweni.
 
Unajamba ukiwa ndani ya gari lako, mara unasikia katoto kako kanacheka kako kiti cha nyuma...
unaingia ofisini asubuhi mara unakumbuka umesahau nyumbani simu yenye majina ya mademu wako wanaokupigia kila mara..
 
Unafika na kiu unakuta danguro limefungwa...............

loohh....kiu ya nini vileee...??.dawa yake tafuta simu ya mwenye danguro....next time u'll enjoy the service openly...!!
 
mbavu zangu jamani humu jamvini kuna people!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom