Ujue umbali wa mikoa yote Tanzania

1. DAR - ARUSHA 646 KM
2. DAR - KAHAMA 1012 KM
3. DAR - BABATI via moro 876 KM
4. DAR - BARIADI 1127 KM
5. DAR - BUKOBA via kahama 1433 KM
6. DAR - DODOMA 450 KM
7. DAR - GEITA 1226 KM
8. DAR - IRINGA 501 KM
9. DAR - KIBAHA 35 KM
10. DAR - KIGOMA via itigi 1258 KM
11. DAR - KIGOMA via kahama 1476 KM
12. DAR - LINDI 452 KM
13. DAR - MBEYA 822 KM
14. DAR - MOROGORO 194 KM
15. DAR - USANGI *575*KM
15. DAR - MOSHI 530 KM
16. DAR - MPANDA via itigi 1383 KM
17. DAR - MTWARA 556 KM
18. DAR - MUSOMA 1370 KM
19. DAR - MWANZA 1200 KM
20. DAR - NJOMBE 710 KM
21. DAR - SHINYANGA 989 KM
22. DAR - SINGINDA 725 KM
23. DAR - SONGEA via moro 949 KM
24. DAR - SONGEA via lindi 1054 KM
25. DAR - SUMBAWANGA 1166 KM
26. DAR - TABORA 829 KM
27. DAR - TANGA 350 KM
28. DAR - TUNDUMA 937 KM
29. ARUSHA - DODOMA via kondoa 425 KM
30. ARUSHA -KIGOMA *1054*KM
31. DAR - KIBITI 128 KM
32. ARUSHA - MWANZA 787 KM
32. MORO - TANGA 329 KM
33. NGARA - DAR via kahama 1310 KM



Sent using Jamii Forums mobile app

Huo umbali unapimwa kwa kutumia njia zipi maana unaweza kufika makao makuu ya mkoa fulani toka kituo kimoja kwa kupitia njia mbali mbali. Kwa mfano mimi naweza kutoka Dodoma kwenda Moshi kwa kupitia Morogoro au kwa kupitia njia ya Kondoa-Babati! Au naweza kutoka Dodoma kwenda Njombe kwa kupitia Morogoro-Iringa- Njombe au Dodoma-Mtera-Iringa-Njombe! Tueleze ni kwa route ipi huo umbali umepimwa, vinginevyo huu umbali hauna maana yoyote!
 
1. DAR - ARUSHA 646 KM
2. DAR - KAHAMA 1012 KM
3. DAR - BABATI via moro 876 KM
4. DAR - BARIADI 1127 KM
5. DAR - BUKOBA via kahama 1433 KM
6. DAR - DODOMA 450 KM
7. DAR - GEITA 1226 KM
8. DAR - IRINGA 501 KM
9. DAR - KIBAHA 35 KM
10. DAR - KIGOMA via itigi 1258 KM
11. DAR - KIGOMA via kahama 1476 KM
12. DAR - LINDI 452 KM
13. DAR - MBEYA 822 KM
14. DAR - MOROGORO 194 KM
15. DAR - USANGI *575*KM
15. DAR - MOSHI 530 KM
16. DAR - MPANDA via itigi 1383 KM
17. DAR - MTWARA 556 KM
18. DAR - MUSOMA 1370 KM
19. DAR - MWANZA 1200 KM
20. DAR - NJOMBE 710 KM
21. DAR - SHINYANGA 989 KM
22. DAR - SINGINDA 725 KM
23. DAR - SONGEA via moro 949 KM
24. DAR - SONGEA via lindi 1054 KM
25. DAR - SUMBAWANGA 1166 KM
26. DAR - TABORA 829 KM
27. DAR - TANGA 350 KM
28. DAR - TUNDUMA 937 KM
29. ARUSHA - DODOMA via kondoa 425 KM
30. ARUSHA -KIGOMA *1054*KM
31. DAR - KIBITI 128 KM
32. ARUSHA - MWANZA 787 KM
32. MORO - TANGA 329 KM
33. NGARA - DAR via kahama 1310 KM



Sent using Jamii Forums mobile app

Unavyosema Dar una maanisha Askari Monument au Magufuli stand?
 
Chato ilikuwa inakuja kwa kasi kiasi kwamba ruti zote zingekuwa zinaanzia kitovuni chato...
 
Naona Dar to shy ni 989 alafu Dar to mwanza ni 1200 nmechukua 1200 toa 989 sawa na 211 so kwahyo kutoka shy to mza ni km 211 au Mimi sjaelewa maana naona Dar shy 989 lakin dar mza 1200 so zmeongezeka 211 inamaanisha shy mza ni 211???
 
Naomba Dar - Ngara na Dar - Karagwe.
Dar-karagwe ni parefu kupitia bk ongeza kilomita 100 kwenye dar-kagera means km 1533 mpk omurushaka, nakumbuka niliwahi kutokea murongo boda mpk dar aisee uchovu wake Ni adhabu
 
1. DAR - ARUSHA 646 KM
2. DAR - KAHAMA 1012 KM
3. DAR - BABATI via moro 876 KM
4. DAR - BARIADI 1127 KM
5. DAR - BUKOBA via kahama 1433 KM
6. DAR - DODOMA 450 KM
7. DAR - GEITA 1226 KM
8. DAR - IRINGA 501 KM
9. DAR - KIBAHA 35 KM
10. DAR - KIGOMA via itigi 1258 KM
11. DAR - KIGOMA via kahama 1476 KM
12. DAR - LINDI 452 KM
13. DAR - MBEYA 822 KM
14. DAR - MOROGORO 194 KM
15. DAR - USANGI *575*KM
15. DAR - MOSHI 530 KM
16. DAR - MPANDA via itigi 1383 KM
17. DAR - MTWARA 556 KM
18. DAR - MUSOMA 1370 KM
19. DAR - MWANZA 1200 KM
20. DAR - NJOMBE 710 KM
21. DAR - SHINYANGA 989 KM
22. DAR - SINGINDA 725 KM
23. DAR - SONGEA via moro 949 KM
24. DAR - SONGEA via lindi 1054 KM
25. DAR - SUMBAWANGA 1166 KM
26. DAR - TABORA 829 KM
27. DAR - TANGA 350 KM
28. DAR - TUNDUMA 937 KM
29. ARUSHA - DODOMA via kondoa 425 KM
30. ARUSHA -KIGOMA *1054*KM
31. DAR - KIBITI 128 KM
32. ARUSHA - MWANZA 787 KM
32. MORO - TANGA 329 KM
33. NGARA - DAR via kahama 1310 KM



Sent using Jamii Forums mobile app
Kwetu mbali sana 1370,Musoma moja......
 
Back
Top Bottom