Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,957
Mkuu,
Dar to kilwa????
Dar to mtwara???
Dar to kilwa????
Dar to mtwara???
Ndio maana tumejenga viwanja vya ndege kwenye hiyo mikoa (Kigoma, Bukoba-Kagera na Mpanda-Katavi) maana tunataka muachane na mabasi mhamie kwenye usafiri wa anga. Na tukaenda mbali zaidi tukanunua na ndege zetu kwa cash ili kuwarahisishia usafiri. Hivyo ukiamua kupanda basi toka hiyo mikoa kuja dar labda uwe unapenda tu kufanya utalii wa ndani.Dar-karagwe ni parefu kupitia bk ongeza kilomita 100 kwenye dar-kagera means km 1533 mpk omurushaka, nakumbuka niliwahi kutokea murongo boda mpk dar aisee uchovu wake Ni adhabu
Umbali toka Hawaii hadi Washington ni 2,733. Lakini bado hawajafikiria kujitoa kwenye USA. Umbali si tatizo. Ingekuwa hivyo, Urusi au Canada zingekuwa zimeshazaa mataifa mia na ushei. Think again mwanangu.Kigoma ni kubwa zaidi ya Burundi, kama Burundi ni nchi vipi Kigoma isiwe nchi??, Kigoma ni kubwa kuliko Dar yenye watu 6.5million, vipi Kigoma ishindwe kuwa nchi autonomous !!?
Pale kwenye sanamu ya Askarihivi Dar ni point ipi unaanzia kuhesabu?
Kwenye sanamu ya Askariakijibu nitagi
Umbali toka Hawaii hadi Washington ni 2,733. Lakini bado hawajafikiria kujitoa kwenye USA. Umbali si tatizo. Ingekuwa hivyo, Urusi au Canada zingekuwa zimeshazaa mataifa mia na ushei. Think again mwanangu.
Can you please substantiate if you can or may?Kigoma inaweza kuwa zaidi ya Rwanda kwa maendeleo kama ikijitenga na Tanganyika, you have to ponder in that line.
Can you please substantiate if you can or may?
Umeweka umbali wa mikoa na miji mikubwa mbalimbali kutoka Dar. Usangi ni kijijini kwanini ipo hapo na nyota zake
Nashukuru sana.Dar-karagwe ni parefu kupitia bk ongeza kilomita 100 kwenye dar-kagera means km 1533 mpk omurushaka, nakumbuka niliwahi kutokea murongo boda mpk dar aisee uchovu wake Ni adhabu
Sifagilii sifa za kijinga mkuu, si kwamba tunafanya utalii la hasha ni uwezo wa kulipia ndege hakunaNdio maana tumejenga viwanja vya ndege kwenye hiyo mikoa (Kigoma, Bukoba-Kagera na Mpanda-Katavi) maana tunataka muachane na mabasi mhamie kwenye usafiri wa anga. Na tukaenda mbali zaidi tukanunua na ndege zetu kwa cash ili kuwarahisishia usafiri. Hivyo ukiamua kupanda basi toka hiyo mikoa kuja dar labda uwe unapenda tu kufanya utalii wa ndani.