Ujue ukweli uliofichwa juu ya elimu ya nyota

Mti wa uzima katika Biblia:Kuishi milele(immortality) na Upatanisho(Reconciliation):

Unajimu na Kabbalah(tamaduni) ya utakatifu wa mti wa maisha inathibitisha busara ya mbingu na alama kama moyo wa agano jipya na pia katika agano la kale toka kitabu cha mwanzo mpaka ufunuo.

Nae Mwenyezi Mungu akasema.."tazama, asije chuma na matunda ya mti wa uzima na akala na akaishi daima,hivyo basi Mwenyezi Mungu akamtoa nje ya bustani ya edeni" Mwanzo 3:22.

Mistari ya kitabu cha mwanzo inabeba ahadi ya kuishi milele kwa wote wanaotambua asili ya roho ya mti, Nguvu ya roho ambazo katika zenyewe ndimo unajimu unapojiendesha nakuthibitisha asili ya roho zetu na roho isifikwe na mauti ambazo dini zote usherehekea kwa millennia nyingi, wakikana kifo.

Kwa wale 'wenye masikio ya kusikia' kama injili iliwekavyo. Kwa wale ambao hawaoni hekima wamepotea nawatakufa kila siku ya maisha yao, mpaka mwisho watakapo onja ule ukombozi wa mwisho.
Ufunuo 22"..kulikuwa na mti wa uzima wa uhai unaozaa matunda mara kumi na mbili kwa mwaka, yaani kila mwezi; na majani yake ni dawa ya kuwaponya watu wa mataifa"

Ufunuo unathibitisha katika terms zisizo na mashaka sifa za kinajimu za mti: Mavuno ya mwezi ya roho za mbinguni kumi na mbili za mti katika mzunguko wake wa kila mwezi wa zodiac.

Cha muhimu zaidi, mstari huu una unabii wa ufunuo wa mti wa uzima; mti wa uzima 'utatibu mataifa yote' ufunuo pia umeahidi 'siri ya Mungu itamalizwa' (ufunuo 10.7) tunapotambua ukweli mkuu nyuma ya dini zetu tofauti, mioyo yetu kwa pamoja nje ya rangi ya ngozi zetu, mataifa na imani zao watalakiana kila mmoja wao kama ndugu badala ya kugeuka kuwa maadui.Na tutatupilia mbali mahusiano yetu yasiyo na afya,yasiyo endelevu na yasiyo na furaha juu ya vitu.

Tunaona dini zikichochea vita na kujihusisha na siasa imefikia hadi kujihusisha na ugaidi, badala ya kuleta amani na maelewano. Hats hivyo haifanyi kuwepo na Mungu zaidi ya mmoja anayezidi sayari yetu ndogo au kwa Mungu mmoja anayezidi sayari yetu ndogo au kwa Mungu kuwa mkweli na mwingine kuwa mwongo, mtizamo/tunachukulia inaweza isizuhilike au kuwa muhimu katika kipindi cha kale, kama jadi na majimbo yalipambana vikali na ilituletea urithi chanya ya maoni tofauti mbalimbali ya siri ya Mungu isiyoeleweka.

Lakini historia ya imani zote ina geuzi (evolution) moja, daima ubadilika kukidhi nyakati na atutakiwi kuinvoke zama mpya za kondoo( Aquarius) kutambua nyakati zetu ambazo ziko katika mabadiliko ya kasi kuliko ilivyowahi kutokea kabla na altitude zetu za zamani zimeshabadilika na siyo endelevu tena.

Ufunuo wa chanzo kimoja cha mbinguni kwa imani zote, sura mbalimbali za Mungu mmoja,Siku moja zitawaleta watu wenye nia nzuri pamoja katika ufahamu wa juu ya nini roho ya kiuungu hasa inahitaji. Hiki ndicho ukweli ambacho kila mmoja wetu anakitaka,upendo ni ushuhuda wa kila moyo, roho ya kiuungu katika kila moyo, tukiweza kusikiliza.

Manabii na wahenga wameweka ubinadamu wa kawaida wa mwanadamu katikati ya ujumbe wao na kufundisha Mungu ni Upendo na Roho ya Upendo, ubinahadamu na kusamehana ndiyo roho ya uungu inayofanya kazi kwetu wanadamu.
Kufunuliwa kwa roho ni hakika ya maisha kama dhihirisho haya mafunzo siyo tu kuwa ni theolojia lakini inafungamana kabisa na metafizikia ya unajimu, maisha ya kiroho ambayo siye tumeibeba ndani mwetu.
Upendo wa dhati ni kiini cha baraka za jua, kifizikia na kimetafizikia, maisha yanatutesa mioyoni, katika vifungo, katika mioyo ya kila atom. Nim-quote Ananda Coormarasway" This is poetry, but none the less science"
Mkuu yani hapa naona mapichapicha tu 😂😂 Hizi nyuzi zingine buana 😂😂
 
Mkuu ndoto kuna muda zinahitaji akili ga ziada kuzifasiri. Mara nyingi watu uota watu, mahali au vitu wanavyofihamu na mara chache uota vitu ambavyo hawajawahi kuviona.

Wewe kuona hizo nyota kwa mchango wangu wa kawaida tu ni kwamba uliwahi kuliwaza jambo la nyota siku moja. Na baada ya siku chache kupita ubongo kupitia subconcious mind ikamaliza kukutengenezea ndoto nakukurudishia. There must be nothing special kuhusu ndoto lakini ni katika sehemu ya ubongo kukuzawadia mawazo yako picha wakati wa usingizi.
 
Mkuu Duarte niseme kauli yako inaukweli kiasi fulani kwa maana nimekuwa na kawaida ya kudadisi na kujisomea mambo mengi yanayohusu siri za anga na nyota, kiasi cha kuwa na ulevi wa kuadmire anga la nyota nyakati za usiku na kubaini mipangilio yake na makundi nyota kupitia ufahamu wa kawaida na kwa msaada wa apps.

Tabia hii ilipelekea nikaanza mwanzoni kuota kama ndoto ila nadhani kutokana na hile dhamiri ya dhati yakupenda nakutaka kujua nilijikuta naanza kuzivuta hizi forces nakupata connection ya mambo yaliyojificha na kuogofya ambayo siwezi kuyaelezea.

Kuna nyakati zilikuwa zinapita hata siku mbili sijalala au kuyasahau mawazo hayo yanayoniijia muda wote, maana nilikuwa nikama natekwa fulani hivi nusu kaputi nasina namna zaidi ya kupotelea huko kiroho kuexplore na hile hali ilikuwa inanitisha kuwa ipo day nitakufa bila yeyote kujua shida ni nini.

Ila namshukuru Mungu kwa sasa nina uzoefu na hili nimejua strength na weakness yangu kwa miaka kadhaa sasa siteseki tena kwa maana ninao uwezo wakujicontrol nakuamua itokee au isitokee hali hiyo na najua ni muda gani sahihi wa kufanya lipi na muda gani napaswa kugive up nakurudia hali ya kawaida ya kimwili,

nimejifunza kuwa endapo nitaliwazia jambo lolote katika astray world litanifikia immediately kupia conscious zangu ambazo zilishafunguka as long as linaexist na hivyo niko makini sana nowadays ndiyo maana nashea premature moments za subconscious zangu kipindi hicho nilipoanza, hili kama kuna mwenye experience kama yangu apate japo mwanga kuwa hayo mambo yapo.
 
FAHAMU SIRI YA SIMULIZI TAKATIFU ZILIZOHIFADHIWA KIMAFUMBO KWA USTADI MKUBWA ULIOTUKUKA KUPITIA NYOTA:-

YESU ni term kumwelezea "Masihi jua" wa zama za samaki (piscean age) kwenye mzunguko wa zodiaki.

Jua linakwenda kinyume nyume kwenye gurudumu la alama 12 za zodiaki nakufikia alama tofauti za zodiaki kwa kila baada ya miaka 2000.

Alama 12 za zodiaki ni pamoja na Aries (Mwanakondoo) Taurus (Ng'ombe) Gemini (Mapacha) Cancer (Kaa) Leo (Simba) Virgo (Bikra) Libra (Mizani) Scorpio (Nge) Sagittarius (Mshale) Capricorn (mbuzi) Aquarius (Ndoo) na Pisces (Samaki wawili)

Yesu ni uwakilishi wa jua kwenye mzunguko wa zodiaki ndiyo maana ana wanafunzi 12 kuashiria jua kwenye mzunguko wa alama 12 za zodiaki.

Mzunguko Mkuu wa takribani miaka 26000, unaanzia kwenye alama ya Ng'ombe(Taurus) kwenye mwaka Mkuu "Great year" kwenye Biblia.

Na kadri tunavyoenda kutoka alama moja kwenda nyingine kuna mwongozo wa kumtoa mtu kila uzaliwa wa zama hizo mpya. Mtu huyo tunamwita Masihi. Masihi anaitwa kwa jina tofauti katika makundi tofauti tofauti lakini wote ni sawa.

Wabudha wanamwita Maitreya, Wahindu "Krishna" Wakristo "Yesu" Waislamu "Imam Mahdi au the twelfth Imam" yaani imamu wa 12 (12 ni kuwakilisha alama 12 za zodiaki)

Kwa mfano binadamu alivyokuwa akitoka kwenye alama ya Ng'ombe kwenda kwenye kuzaliwa kwa zama mpya kwenye alama ya kondoo (Aries) kwenye mzunguko Mkuu (big precession clock) Masihi jua aliyekua akiongoza kipindi hicho alikuwa Musa.

Hapa tutawaangalia Masihi wa kwenye maandiko nakuwalinganisha na alama 12 za zodiaki zinazowakilisha zama na athari za sayari zinazotawala alama hizo kwenye tabia za kila Masihi ikiwemo athari za kiimani.

NB: Kumbuka kila moja ya sayari 7 za jadi inatawala nyumba moja au zaidi ya zodiaki.

Kipindi cha Musa ilikuwa ni kipindi cha ibada ya Ng'ombe huko India mpaka leo hii. Kwahiyo katika mpaka wa Taurus na Aries yaani zama za Ng'ombe na Kondoo, tuna tukio la Musa kwenda mlima Sinai kuchukua amri za Mungu. Sheria hizo ama amri 10 ni taratibu mpya kwa zama mpya ambayo imefika. Ndiyo maana tunasema kila zama na kitabu chake.

Musa alikwenda Sinai kuchukua sheria kwa ajili ya zama mpya za Aries(Mwanakondoo) kutoka kwenye zama walizokuwepo za Taurus (Ng'ombe) walizokuwa wakiziishi.

Ndio maana wakati Musa alipokuwa juu mlimani watu waliokuwepo chini walitengeneza ndama wa dhahabu (A golden calf) kuwakilisha zama za Taurus yaani Ng'ombe.

Lakini wote wanaoabudu ndama wa dhahabu leo hii anayetokana na zama za Taurus, hawajagundua bado kwamba ule mzunguko mkuu (the precessional clock) umehama kutoka Taurus kwenda Aries.

NB: Tunasema kuwa bado watu hawa wananing'inia kwenye zama za kale.

Zama mpya ni namba mpya ya jumla ya kufanya vitu. Ni ufahamu mpya kwa ujumla, ni mazingira/saikolojia mpya. Ni mfumo mpya wa vitu.

Pindi Musa aliposhuka mlimani alikuta wahalifu wote wameuawa kwa sababu ilimaanisha kuwa zama za Taurus zilikuwa zimekwisha.

NB: Zingatia mfano huo kwa sababu katika mwanzo wa kila zama, kuna kuwatoa wale wote ambayo bado wanashikilia njia za zamani na miungu ya kale yaani fikra za kale na maisha ya kale pia. Kwahiyo hapa Musa alikuwa anaongoza watu waliokuwa wanatoka katika zama za Taurus kwenda zama mpya za Aries (Mwanakondoo)

Hivi ni vielelezo kwamba walikuwa wakibadilika kuelekea kwenye zama au alama ya Aries.

NB: Kila alama ya zodiaki ina kauli mbiu yake. Kauli mbiu ya Aries ni "I AM" yaani Nipo.

Musa alivyomuuliza Mungu niwaambie nani kanituma Mungu alimjibu "waambie MIMI...yaani " I AM" (Kutoka 3:14). Hiyo ni lugha ya kinajimu ya Biblia kuwakilisha kauli mbiu ya zama za Aries.

Jambo muhimu mno la kukumbuka wakati wote kwenye thiolojia hii ya zodiaki ni kuwa inatawaliwa na sayari hivyo basi sayari inamchango katika kuathiri tabia za zodiaki husika inayooongozwa na sayari hizo.

Sayari ya Venus inaongoza alama ya Taurus lakini sayari inayoongoza alama ya Aries wakati wa Musa ni Mars.

Kwenye unajimu, Mars ni sayari ya vita yenye tabia ya ukali. Ndiyo maana tabia za Mungu wa zama za Musa ilikuwa ni ukali na vita. Haishangazi aliitwa Bwana wa Mabwana au Yehova au Bwana wa Majeshi.

Mara kwa mara akina Musa walikuwa vitani na majirani zao kutokana na athari za sayari ya Mars. Hata leo tunapata neno "Martial" kutokana na neno Mars na pia neno "March" yote ikiashiria vita.

Ndiyo maana twasema kauli kama wanajeshi wana"march" kuelekea vitani, yote hiyo ni kuwakilisha alama ya zodiaki ya Aries. "Sijawaletea amani bali upanga.."

Ni muhimu sana kujua ni sayari gani inaongoza alama gani ya zodiaki, kwa sababu hii itajibu ni kwanini Mungu anaonekana kubadilika kila zama.

Kutoka kuwa Mungu wa vita na mkali kwenye agano la kale hadi kuwa Mungu mwema mwenye upendo wa agano jipya.

NB: Usikose mwendelezo wa sehemu inayofuata...."
 
INAENDELEA....

Tukirudi tena kwenye alama ya Aries (Mwanakondoo) tunafahamu kwamba wayahudi kwenye agano la kale walihusishwa na uchungaji au na alama ya kondoo.

Mfalme Daudi mathalani alikuwa ni mchungaji. Vile vile Wayahudi walipuliza baragumu la pembe ya kondoo walipoudondosha ukuta wa yeriko. Yote hii ni ishara ya alama ya Aries.

Vilevile alama 12 za zodiaki zimegawanyika katika element kuu 4 a uumbaji ambazo ni;
I) HEWA (Mapacha, mizani, ndoo)

II) MAJI (nge, samaki, Kaa)

III) MOTO (kondoo, simba, mshale)

IV) NCHI (ng'ombe, mashuke, mbuzi)

V) na elementi ya 5 ni ROHO (spirit)

Elementi ya alama ya Aries ni MOTO na Taurus kwenda Aries, aliongelea habari ya kichaka kinachoungua lakini hakiteketei yaani MOTO (Kutoka 3:1-17)

Kora alipopinga utawala wa Musa yeye na wafuasi wake walimezwa na NCHI.(Hesabu 16:31) Na NCHI ikapanua mdomo wake na kuwameza wote na nyumba zao.

Vilevile Musa alisema kwamba Bwana Mungu wenu ni MOTO ulao (Kumb.4:24)
MOTO na NCHI ni uwakilishi wa zama za Aries na Taurus wakati wa kipindi cha Musa.

Naam hiyo ilikuwa ni zama za Aries yaani Mwanakondoo. Katika zama inayofuata kwenye ile saa kuu ama mzunguko wa kinyumenyume (precessional clock) yaani miaka 2000 mingine, tunawasili kwenye alama ya Pisces (samaki wawili)

Baada ya Musa na zama zake kwisha, Masihi ajaye alitakiwa aongoze watu kutoka zama za Aries kwenda kwenye zama za samaki (Pisces)

Ndipo sasa akaibuka Yesu (Jesus) au unaweza kumwita Masihi wa zama za samaki (The Piscean Messiah!)

Hii ndio sababu Yesu aliitwa "Mwanakondoo wa Mungu" kwani alikuwa mjumbe wakati wa mwisho wa zama za Kondoo (Aries) Kama Musa alivyokuwa mjumbe wakati wa mwisho wa zama za Ng'ombe (Taurus)

Alama ya Pisces ni samaki wawili ikibebwa na kauli mbiu "I BELIEVE" yaani 'Ninaamini' kwahiyo tutegemee alama za samaki na imani kwenye maisha ya Yesu.

Wakati Yesu akilisha makutano kwa samaki wawili, inashangaza kuona kuwa alama ya Pisces ni samaki wawili pia. Na hata wanafunzi wake baadhi yao walikuwa wavuvi, na alimwambia Petro wakati mmoja kuwa atamfanya kuwa mvuvi wa watu.

Kuamini au kutilia mashaka (I believe or I doubt) Ndio kauli mbiu ya Pisces na huduma ama injili ya Yesu ilikuwa ni juu ya kutafuta waumini yaani "believers" watu wote walipaswa kumwamini Yesu.

Tomaso alipokuwa na mashaka.baada ya kushika vidonda vya Yesu si aliamini?

Hata kwenye ukristo wa sasa bado wapo wanaoamini, wapo wenye mashaka na wapo wasioamini kwa kuwa bado hawajaelewa nadharia ya Yesu kuwa Mungu Mwana au kuwa Mungu na wapo wanaoamini alikuwepo na kwamba atarudi lakini wapo pia wanaotilia mashaka ya uwepo na hata kurudi kwake pia.

Yesu alisema kwenye maandiko, yeyote aniaminie atapata uzima wa milele. Ni juu ya kuamini. Kwa sababu "I believe" ndio kauli mbiu ya Pisces.

Tunapotembea kutoka zama za Kondoo (Age of Aries) kwenda zama za Samaki (Age of Pisces) tunatoka kwenye alama za MOTO kwenda kwenye alama ya MAJI.

Hii ni muhimu kwa kuwa ni lazima tuone alama hizo zikimzunguka Yesu. Elementi ambayo Yesu anahusiana nayo zaidi kati ya zile elementi kuu nne ni MAJI.

Yesu alituliza mawimbi nakutembea juu ya MAJI, aliwaambia wafuasi wake watupe nyavu zao kwenye MAJI. Alihubiri mara kadhaa kutokea kwenye MAJI (akisimama ndani ya boti)

Tukija kwenye uongozi wa sayari kwenye alama za zodiaki, sayari inayoongoza alama ya Pisces ni sayari ya Jupiter.

Jupiter pia inaitwa "Jove" au "Zeus" hivyo tunapata neno "Jovial" inayomaanisha furaha kutokana na neno "Jove" au "Jupiter"

Kwa kuwa alama ya Pisces (Samaki) inaongozwa na sayari ya Jupiter tutegemee vitu vyenye ishara ya Jupiter (Jupiterian stuff) wakati wa Yesu.

Kwenye unajimu, Jupiter ni sayari yenye upole mkuu (greater benefic) tofauti na Mars ambayo ni angamizi (lesser malefic)

Sayari ya Jupiter ambayo inatawala Pisces (Zama za Yesu) ni sayari ya wema tofauti na Mars sayari ya vita wakati wa Aries (Zama za Musa)

Ndio maana sasa, Mungu, anaonekana mwema, Yesu alihubiri Mungu mwenye upendo anayejali akiwa tofauti na Mungu wa vita wa agano la kale wakati wa Musa.

Kutokana na sayari ya Jupiter kutawala zama za Samaki ambazo ni zama za ukristo, tunapata kanisa la kwanza likiitwa kanisa la Jupiter, Jupiter ni Zeus kwa wagiriki. Muunganiko wa Jupiter na Zeus unatupatia Je-Zeus na kisha Jesus.

Ndio maana dini mpya ya Kikristo ilijengwa kwa Peter yaani Petro kutokana na sayari ya Jupiter.

Kama ilivyo ada kila zama ina ukomo wake ili kupisha zama mpya, na kila zama ina athari zake kiimani. Yesu alizungumzia mwisho wa zama zake.

NB: (Mathayo 28:20), Nitakuwa nanyi mpaka ukamilifu wa dahali, yaani zama.
Ukamilifu wa dahali ni pale jua litakapomaliza mzunguko wake kwenye alama ya Pisces.

Vile vile Yesu alizungumzia ujio wa zama mpya za Aquarius zitakazofuata baada ya zama zake za Pisces kwisha.

(Marko 14:13) Basi yesu akawatuma 'wawili' wa wanafunzi wake akiwaambia, "Nendeni mjini, nanyi mtakutana na mtu anayebeba MTUNGI WA MAJI, mfuateni..."

Alama ya AQUARIUS ni mtu aliyebeba NDOO ya MAJI akiyamimina chini.

Kutoka zama za njozi za imani, wakati wa Pisces hatimaye mwaka 2000 tuliingia kwenye zama mpya za Aquarius kwenye ule mzunguko mkuu wa gurudumu la zodiaki.

Tulipoingia mwaka 2000 a.k.a Y2K, wengi walidhani ni mwisho wa dunia. La hasha haikuwa mwisho wa dunia bali mwisho wa zama za kale na kuanza kwa zama mpya. Kwamba jua lilimaliza mzunguko wake wa miaka 2000 kwenye alama ya Pisces na kuingia kwenye alama ya Aquarius.

Huu ni wakati wa kumfuata mtu mwenye Ndoo ya Maji yaani "Aquarius" aliyesemwa kwenye biblia.

Maji umaanisha UFAHAMU nami nakumiminia mafuriko ya ufahamu huu mkuu.

Kauli Mbiu ya Aquarius ni "I KNOW" yaani 'Ninafahamu' hivyo hutakiwi kuamini tena bali kufahamu na ukishaijua kweli basi kweli itakuweka huru.
 
unitag mkuu
 
iko vzr.
 
Asante mkuu, wengi hawajui jambo hili kuwa biblia imeandikwa kwa lugha yenye tafsiri zaidi ya moja, yaani lugha ya masimulizi au maagizo jinsi yalivyo kama vitabu vingine vya kawaida ambavyo vinaeleweka kwa watu wote(waumini).

Pili ni lugha ya tafsiri kwa njia ya picha na mafumbo ambayo ni wachache tu ung'amua(wanatheolojia na wabobezi wa dini)

Tatu ni lugha ya Namba na Unajimu ambayo wachache mno uelewa kama nayo imefichwa katika maandishi hayo (Wana-Holy Science and hidden knowledge seeker) Nilichokigusia hapo kwa ufupi kwenye uzi ukikitafakari kwa kina lazima kikupe mshangao kidogo na maswali kuwa inawezekanaje ikawa hivyo.
 
mkuu.nilisoma kitabu kinaitwa the secrety of teaching of all age .na kingine kinahusu number.zodiac waligusia hili usemalo

waligusia. number 12
.juu ya wanafunzi wa yesu
.makabila 12 ya wayahudi
.mpangilio wa nyota
.miezi 12 ktk mwaka
 
Kama umesoma kazi za huyu gwiji Manly P. Hall na kama ulimakinika vizuri naamini ulifaidika na mengi yanayohusu secret teaching ambazo wengi wetu ikiwemo wenye dini zao na occult mbalimbali hawayajuhi. Hivyo naamini katika hili wewe umenielewa vyema na kwa urahisi kabisa.
 
nimekuelewa vzr mno.km namsoma Manly P Hall .natamani uendelee
 
Siku moja nikiwa usingizini ndipo maono yakaniijia kama ilivyokuwa kwa yohana wa ufunuo tofauti yake na mimi ikawa ndogo yeye alifunuliwa(aliambiwa maana ila mimi sikuambiwa maana zaidi ya kushuhudia),

Tazama nafsi ilikaribia mbingu mbele ya kiza kinene na tazama nilipofumbua macho yangu katika roho naliona mpangilio wa ajabu na kustaajabisha wa nyota mbalimbali

Tazama kulikuwako na mbingu mbili moja ni ile tuionayo kila siku lakini nyuma yake kulikuwako na ile mbingu ya pili na katika hii mbingu yakustaajabisha ipo tafsiri ya yale makundi ya nyota niliyoyaona katika mbingu ile ya kwanza yaani zile zodiac signs(constellations)

Kilichonishangaza zaidi nikuziona nyota zote jinsi zilivyo na michoro yake niliyoifahamu kupitia kwenye magazeti,vitabu n.k katika dunia hii tuishio zikiwa katika umbile la binadamu,wanyama, wadudu, mashujaa n.k

Nilikosa jibu kwanini iwe hivyo kule mbinguni? Na je ni nani huyo aliyeichora mbingu nakuinakshi kwa maumbo yenye rangi ya kupendeza na maumbile mbalimbali?

Pale pale nikasadiki kuwa Mungu yupo na ndie mchoraji,muhunzi na mratibishaji wa kila kilichopo pale kwa maana hata pamoja na uwezo waziada niliokuwa nao katika maono sikuweza kukaribia hata nukta ya umbali zilipo nyota zile nilizozishuhudia,

Ila swali lililonitesa hata baada ya kuzinduka nakutoka kwenye maono hayo ambayo siwezi kuelezea maajabu na siri chache nilizoshuhudia huko, nilijiuliza je ni wangap wameshayashuhudia yale niliyoyaona?

Na kama bado imekuaje michoro ile ile na maumbo yaleyale niliyoyashuhudia kwa macho yangu tuwe tukiyajua nakuyachora katika dunia yetu?

Tumeenda mbali zaidi na kuiba baadhi ya siri zilizoko kule kuhusiana na mahusiano yaliyopo kati ya nyota na maisha ya mwanadamu(kwa kutumia tarehe ya kuzaliwa)n.k

Je,mwanadamu amejua hivi vyote kupitia msaada wa viumbe visivyoonekana, ama kwa njia kama yangu au kuna siri kubwa ya uumbaji ambayo baadhi ya watu wanayo lakini wameifumba dunia kwa makusudi ya mazuri au mabaya? Au wenda mwanadamu angefunuliwa elimu hii angeweza kumjua vyema muumba wake nakumpa sifa au ingemletea dhahama ya uasi na kutenda maovu?

Naomba kushusha kalamu nakuishia hapa, yumkini sikulazimishi huyaamini haya niyanenayo ila imekupasa kutafakari kwa kina kwa nini wapo wasoma nyota toka zama za kale na walikuwa wakibashiri na vitu vinatokea kweli hata kabla ya kristo, Je, ni siri gani iliyofichika katika elimu hii?
shibe ya mandondo mbaya sana
 
INAENDELEA....

Tukirudi tena kwenye alama ya Aries (Mwanakondoo) tunafahamu kwamba wayahudi kwenye agano la kale walihusishwa na uchungaji au na alama ya kondoo.

Mfalme Daudi mathalani alikuwa ni mchungaji. Vile vile Wayahudi walipuliza baragumu la pembe ya kondoo walipoudondosha ukuta wa yeriko. Yote hii ni ishara ya alama ya Aries.

Vilevile alama 12 za zodiaki zimegawanyika katika element kuu 4 a uumbaji ambazo ni;
I) HEWA (Mapacha, mizani, ndoo)

II) MAJI (nge, samaki, Kaa)

III) MOTO (kondoo, simba, mshale)

IV) NCHI (ng'ombe, mashuke, mbuzi)

V) na elementi ya 5 ni ROHO (spirit)

Elementi ya alama ya Aries ni MOTO na Taurus kwenda Aries, aliongelea habari ya kichaka kinachoungua lakini hakiteketei yaani MOTO (Kutoka 3:1-17)

Kora alipopinga utawala wa Musa yeye na wafuasi wake walimezwa na NCHI.(Hesabu 16:31) Na NCHI ikapanua mdomo wake na kuwameza wote na nyumba zao.

Vilevile Musa alisema kwamba Bwana Mungu wenu ni MOTO ulao (Kumb.4:24)
MOTO na NCHI ni uwakilishi wa zama za Aries na Taurus wakati wa kipindi cha Musa.

Naam hiyo ilikuwa ni zama za Aries yaani Mwanakondoo. Katika zama inayofuata kwenye ile saa kuu ama mzunguko wa kinyumenyume (precessional clock) yaani miaka 2000 mingine, tunawasili kwenye alama ya Pisces (samaki wawili)

Baada ya Musa na zama zake kwisha, Masihi ajaye alitakiwa aongoze watu kutoka zama za Aries kwenda kwenye zama za samaki (Pisces)

Ndipo sasa akaibuka Yesu (Jesus) au unaweza kumwita Masihi wa zama za samaki (The Piscean Messiah!)

Hii ndio sababu Yesu aliitwa "Mwanakondoo wa Mungu" kwani alikuwa mjumbe wakati wa mwisho wa zama za Kondoo (Aries) Kama Musa alivyokuwa mjumbe wakati wa mwisho wa zama za Ng'ombe (Taurus)

Alama ya Pisces ni samaki wawili ikibebwa na kauli mbiu "I BELIEVE" yaani 'Ninaamini' kwahiyo tutegemee alama za samaki na imani kwenye maisha ya Yesu.

Wakati Yesu akilisha makutano kwa samaki wawili, inashangaza kuona kuwa alama ya Pisces ni samaki wawili pia. Na hata wanafunzi wake baadhi yao walikuwa wavuvi, na alimwambia Petro wakati mmoja kuwa atamfanya kuwa mvuvi wa watu.

Kuamini au kutilia mashaka (I believe or I doubt) Ndio kauli mbiu ya Pisces na huduma ama injili ya Yesu ilikuwa ni juu ya kutafuta waumini yaani "believers" watu wote walipaswa kumwamini Yesu.

Tomaso alipokuwa na mashaka.baada ya kushika vidonda vya Yesu si aliamini?

Hata kwenye ukristo wa sasa bado wapo wanaoamini, wapo wenye mashaka na wapo wasioamini kwa kuwa bado hawajaelewa nadharia ya Yesu kuwa Mungu Mwana au kuwa Mungu na wapo wanaoamini alikuwepo na kwamba atarudi lakini wapo pia wanaotilia mashaka ya uwepo na hata kurudi kwake pia.

Yesu alisema kwenye maandiko, yeyote aniaminie atapata uzima wa milele. Ni juu ya kuamini. Kwa sababu "I believe" ndio kauli mbiu ya Pisces.

Tunapotembea kutoka zama za Kondoo (Age of Aries) kwenda zama za Samaki (Age of Pisces) tunatoka kwenye alama za MOTO kwenda kwenye alama ya MAJI.

Hii ni muhimu kwa kuwa ni lazima tuone alama hizo zikimzunguka Yesu. Elementi ambayo Yesu anahusiana nayo zaidi kati ya zile elementi kuu nne ni MAJI.

Yesu alituliza mawimbi nakutembea juu ya MAJI, aliwaambia wafuasi wake watupe nyavu zao kwenye MAJI. Alihubiri mara kadhaa kutokea kwenye MAJI (akisimama ndani ya boti)

Tukija kwenye uongozi wa sayari kwenye alama za zodiaki, sayari inayoongoza alama ya Pisces ni sayari ya Jupiter.

Jupiter pia inaitwa "Jove" au "Zeus" hivyo tunapata neno "Jovial" inayomaanisha furaha kutokana na neno "Jove" au "Jupiter"

Kwa kuwa alama ya Pisces (Samaki) inaongozwa na sayari ya Jupiter tutegemee vitu vyenye ishara ya Jupiter (Jupiterian stuff) wakati wa Yesu.

Kwenye unajimu, Jupiter ni sayari yenye upole mkuu (greater benefic) tofauti na Mars ambayo ni angamizi (lesser malefic)

Sayari ya Jupiter ambayo inatawala Pisces (Zama za Yesu) ni sayari ya wema tofauti na Mars sayari ya vita wakati wa Aries (Zama za Musa)

Ndio maana sasa, Mungu, anaonekana mwema, Yesu alihubiri Mungu mwenye upendo anayejali akiwa tofauti na Mungu wa vita wa agano la kale wakati wa Musa.

Kutokana na sayari ya Jupiter kutawala zama za Samaki ambazo ni zama za ukristo, tunapata kanisa la kwanza likiitwa kanisa la Jupiter, Jupiter ni Zeus kwa wagiriki. Muunganiko wa Jupiter na Zeus unatupatia Je-Zeus na kisha Jesus.

Ndio maana dini mpya ya Kikristo ilijengwa kwa Peter yaani Petro kutokana na sayari ya Jupiter.

Kama ilivyo ada kila zama ina ukomo wake ili kupisha zama mpya, na kila zama ina athari zake kiimani. Yesu alizungumzia mwisho wa zama zake.

NB: (Mathayo 28:20), Nitakuwa nanyi mpaka ukamilifu wa dahali, yaani zama.
Ukamilifu wa dahali ni pale jua litakapomaliza mzunguko wake kwenye alama ya Pisces.

Vile vile Yesu alizungumzia ujio wa zama mpya za Aquarius zitakazofuata baada ya zama zake za Pisces kwisha.

(Marko 14:13) Basi yesu akawatuma 'wawili' wa wanafunzi wake akiwaambia, "Nendeni mjini, nanyi mtakutana na mtu anayebeba MTUNGI WA MAJI, mfuateni..."

Alama ya AQUARIUS ni mtu aliyebeba NDOO ya MAJI akiyamimina chini.

Kutoka zama za njozi za imani, wakati wa Pisces hatimaye mwaka 2000 tuliingia kwenye zama mpya za Aquarius kwenye ule mzunguko mkuu wa gurudumu la zodiaki.

Tulipoingia mwaka 2000 a.k.a Y2K, wengi walidhani ni mwisho wa dunia. La hasha haikuwa mwisho wa dunia bali mwisho wa zama za kale na kuanza kwa zama mpya. Kwamba jua lilimaliza mzunguko wake wa miaka 2000 kwenye alama ya Pisces na kuingia kwenye alama ya Aquarius.

Huu ni wakati wa kumfuata mtu mwenye Ndoo ya Maji yaani "Aquarius" aliyesemwa kwenye biblia.

Maji umaanisha UFAHAMU nami nakumiminia mafuriko ya ufahamu huu mkuu.

Kauli Mbiu ya Aquarius ni "I KNOW" yaani 'Ninafahamu' hivyo hutakiwi kuamini tena bali kufahamu na ukishaijua kweli basi kweli itakuweka huru.
Kuna namna imenifikirisha sana....
 
Kuna namna imenifikirisha sana....
Huu ndiyo ukweli wa upande wa pili wa imani zetu tunazoziamini ambao haujafunuliwa kwa watu wote kuujua, kwa maana kama nilivyoandika tuko kwenye transformation ya kutoka "I believe" kwenda "I know" as astrologer au wanajimu tunatambua time is running out so fast and soon tutalazimika kuukubali ukweli wa new era,

Ndiyo maana vikundi vya siri (visivyo na nia njema kwa human race)kwa kulijua hili utumia uelewa huu kupotosha wasiojua hili kufanikisha malengo yao (wasio na utambuzi huu ni wengi mno na mabadiliko hayana budi kusubiri generation mpya mpaka itakapomea vyema hata kama itachelewa) hii ni future hivyo sitegemei watu wavutike au walichukulie seriously hili kwa kuwa ni stori za kufikirika kama zilivyozingine na hivyo haiwezi kuwa interesting stori hapa JF
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom