Ujue uhalali wa siku za maombolezo kitaifa

Ujue uhalali wa siku za maombolezo kitaifa

Kwetu kwa muda wa msiba ni kulala juu ya mkeka tu,japo sababu kubwa ni uwingi wa watu vitu vyote huwekwa chumba kimoja kupata nafasi ya kulala........

Zamani hata viatu or ndala ilikuwa hairuhusiwi kwa wafiwa, tangu early 1990's huo upuuzi uliachwa
 
Inashangaza kwakweli, wao walipiga makofi na vigelegele, wakati huo inje BENDERA za ziko NUSU MLINGOTI!

Sasa iweje iwe marufuku wengine kusherekea pasaka wakati katiba ipo wazi?
Na kila mteule baada yakuapishwa alifanya sherehe kubwa.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom