Ujue ufisadi wa samwel sita

PJ

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
297
32
Aliekuwa spika wa bunge ambae amemaliza muda wake Bwana Samwel Sita na ambae anajinadi kupambana na ufisadi nae ni mmoja wa mafisadi ambao walipopata nafasi hawakusita kuchukua rushwa katika kandarasi mbalimbali.

Alipokuwa waziri wa Mawasiliano na Ujenzi katika serikali ya awamu ya kwanza alihusika na ulaji rushwa katika kandarasi mbalimbali za ujenzi

Mojawapo ni ujenzi wa barabara ya Morogoro - Dodoma. Huyu bwana aliafukuzwa uwaziri na Mwalimu Nyerere baada ya kuchuwa rushuwa ya Matrector ambayo yalikuwa na harrow, planter na combined harvester kutoka kampuni ya ujenzi ya Brazili ambayo ilipewa kandarasi ya kujenga barabara hiyo. Mwalimu alikuwa halei ufisadi

Ufisadi mwingine aliufanya kule CDA
 
Sikuelewi mkuu, harrow, planter na combine harvester kwenye ujenzi wa barabara ?
 
Mwaga data basi.!
 
Tuletee evidence za uhakika, sio kuwasema tu watu vibaya.

hicho ndo kitu muhimu EVIDENCE
 
Bravo Bravo Bravo!!! Mtumie JK ujumbe huo. Nadhani alisoma vitabu vya kina Max, Lenin, Mao, Nyerere na philosophers wengine ili afauru mtihani tu, lakini falsafa hiyo haipo kichwani kabisa!!!!!!!!!!!!!!!

VOTE FOR DR. SLAA mwanamapinduzi wa kweli.
 
Aliekuwa spika wa bunge ambae amemaliza muda wake Bwana Samwel Sita na ambae anajinadi kupambana na ufisadi nae ni mmoja wa mafisadi ambao walipopata nafasi hawakusita kuchukua rushwa katika kandarasi mbalimbali.

Alipokuwa waziri wa Mawasiliano na Ujenzi katika serikali ya awamu ya kwanza alihusika na ulaji rushwa katika kandarasi mbalimbali za ujenzi

Mojawapo ni ujenzi wa barabara ya Morogoro - Dodoma. Huyu bwana aliafukuzwa uwaziri na Mwalimu Nyerere baada ya kuchuwa rushuwa ya Matrector ambayo yalikuwa na harrow, planter na combined harvester kutoka kampuni ya ujenzi ya Brazili ambayo ilipewa kandarasi ya kujenga barabara hiyo. Mwalimu alikuwa halei ufisadi

Ufisadi mwingine aliufanya kule CDA

Yeah right. Wale waliofilisi na kuyaua mashirika ya umma elfu kadhaa walifungiwa jela zipi vile?
 
Mwaga data basi.!

katika hamu hii amejenga ofisi ya mbunge ambayo ameiita ofisi ya Spika Urambo Tabora kwa gharama ya shillingi millioni 500,kwa hali halisi ofisi ya mbunge haitakiwi kuzidi millioni 40-65 katika bugjet ya bunge.

thamani ya ofisi hiyo ameweka gharama ya milioni 150.

huu ni ufisadi
 
Hiyo Office yakwake au ya Mbunge? that means mbunge yeyote anaweza kuitumia for the Fututre
 
Sikuelewi mkuu, harrow, planter na combine harvester kwenye ujenzi wa barabara ?

Mkuu huelewi nini kandarasi ilikuwa ya barabara ila rushwa aliyopewa ni ya hivyo vifaa vya kilimo si lazima viwe vya barabara
 
Rushwa ni kitu cha kawaida ktk contract nyingi hasa za ujenzi wa barabara.
So Sitta hakuwa wa kwanza katika ilo cha msingi ni kushukuru kama road imejengwa.
Watu walikula ela ya kujengea rami ya kwenda Mbinga na mpaka leo Vumbi kule.
Juzi juzi ndo wachina wanaanza upya kujenga
 
Kampuni ilikuwa inaitwa ECISA Spa na alipewa hilo tractor kama zawadi kwa kusaidia wao kupata tenda.....na kwa kuwa yeye ni mnazi wa Simba SC kampuninhiyo iliipeleka Simba Brazil 1982...badala ya timu ya Taifa
 
Aliekuwa spika wa bunge ambae amemaliza muda wake Bwana Samwel Sita na ambae anajinadi kupambana na ufisadi nae ni mmoja wa mafisadi ambao walipopata nafasi hawakusita kuchukua rushwa katika kandarasi mbalimbali.

Alipokuwa waziri wa Mawasiliano na Ujenzi katika serikali ya awamu ya kwanza alihusika na ulaji rushwa katika kandarasi mbalimbali za ujenzi

Mojawapo ni ujenzi wa barabara ya Morogoro - Dodoma. Huyu bwana aliafukuzwa uwaziri na Mwalimu Nyerere baada ya kuchuwa rushuwa ya Matrector ambayo yalikuwa na harrow, planter na combined harvester kutoka kampuni ya ujenzi ya Brazili ambayo ilipewa kandarasi ya kujenga barabara hiyo. Mwalimu alikuwa halei ufisadi

Ufisadi mwingine aliufanya kule CDA
imeandikwa na edward lowassa
 
Back
Top Bottom