Ujirani mwema

Uzoefu wangu na pictures za mshanajr unanifanya nifokiri kwa kina juu ya uzi huu.

Naone milioni kumi za mboga zimejibuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2]
 
Uzoefu wangu na pictures za mshanajr unanifanya nifokiri kwa kina juu ya uzi huu.

Naone milioni kumi za mboga zimejibuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2]
[emoji15] [emoji2] [emoji115] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
Kijungu chako ni ghali kwa dola hata rupia
Nimejikuta nimekakumbuka haka kawimbo
 
Mshana amewahi kusema PICHA nayo inaongea...

Nahisi kama wote wana harufu (elements) za KINYARWANDA...!!

Ni katika mtazamo wangu wa KIVISA VISA...[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Huyu Mother Kumbe Bado Sokoni Analipa Haya M7 jilie Vyako
 
Matumiz ya khanga yanazidi kupotea siku hadi siku na mwishowe vazi la khanga litapotea kabisa,

Ila kitu mwake mwake …imoooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…