Ujio wangu

Amwit52

Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
59
Reaction score
7
Ndio nimeingia hivyo JF. Mkipenda nikaribisheni au mnune.
 
Hii ni ID yako ya ngapi hapa JF?
 
Nina hofu sana na ujio wako Amwit52! Huu ujio wako ni ya ngapi humu? Shaka nyingi sana kwako.
 
warembo wa humu ndani. si unajiona mfano wewe ulivyo mrembo?
Asante sana. Hivi unajua wengine wote waliweka picha sio zao? unawaona warembo ila sio picha zao... wewe hii picha ni yako?
 
Asante sana. Hivi unajua wengine wote waliweka picha sio zao? unawaona warembo ila sio picha zao... wewe hii picha ni yako?

kumbe? bila shaka hii ni yako. ndio nilipokuwa mdogo.
 
kumbe? bila shaka hii ni yako. ndio nilipokuwa mdogo.
Ulikua mzuri sana mashallah. Mimi ni yangu pia... zipo zingine katika album kwenye profile. Utakuja tuangalie album wote?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…