Ujio wangu upokeeni

Mh! chit-chat unatumia chigala gani?chipoti au echiemu? alafu utakua chichiemu wewe!kwani ndio chama cha ntwara kwa BW.M
 
karibu jisikie upo arumeru mashariki kama wewe ni chadema au jiskie upo mtela kama wewe ccm.
 
Ninajisakia nipo mbinguni kwa ushindi wetu.
 
mi nikajua wewe wa mtera kwa livingstone lusinde kumbe ni wa huku kwetu arumeru mashariki!. karibu sana.
 
Ninajisakia nipo mbinguni kwa ushindi wetu.

Shabby umedhamiria...naona hutaki masihara...huwa nasikia ngoma ya watoto HAIKESHI...ila naona ni maneno mbofumbofu...tehe!..habari yako bana!..
 
hii ni ya watu wazima kamanda.tehe... Habari nzuri mkuu wewe vipi?
 
Sheby,karibu sana,jisikie uko ku bedroom.
 
hii ni ya watu wazima kamanda.tehe... Habari nzuri mkuu wewe vipi?

aah mm nipo...kama nilivyokujuza awali ulinzi ni jukumu langu...vijana wamelala mm nakula patrol...kuna marupurupu lakini!...lol
 
nimekuona kamanda wewe kweli mlinzi wa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…