Karibu sn,ila mie mrembo wa Rejao.
Mmmh ! Leo uko online kwa sana!
Sijui ndiyo kiwewe cha Alumelu!
Mimi sijui !
Nakwambia nisaidie basi kumtambulisha mrembo wangu.
Alafu huyu mgeni mbona namuona kama mwenyejimwenyeji hivi !
Ni he wakutosha hasa! Interested?
Asante mrembo. Ila hakuna mbaya waweza hama kwa Rejao ukaja kwangu.
Nimerelux kifuan kwa rejao ndio maana na mud ya kua online mda wote!wala hujakosea soma katikati ya mistar utagundua hana kamba mguun!