Ujio wa viber na whatsapp hasara kwa telecos?

unaweza kuwa sahihi mkuu lets wait and see. idea ni nzuri hata mimi nimeipenda, though inaonesha ni bei ghali sana

Kwenye bei sijaona mkuu, lakini kikwazo kikubwa kitachoibuka pindi hii project ikishika kasi nadhani ni mambo ya kisiasa, kwa sababu google wao lengo lao ni kutoa huduma ya internet bure au kwa cost ndogo sana kwa dunia nzima, mpaka watu wa mashambani!
 
mkuu gharama nilizomaanishia ni mabaloon sifkiri kama rusia, china, venezuela, na nchi maadui wa marekani wataacha mabaloon yapite free angani kwao lazma kutakua na protocal nyingi na ili yafanye kazi inabidi yawe karibu karibu so ni lazima google waeke kwenye nchi hizo
 
Hahahaa, umeisahau North Korea mkuu! Lakini hizi baloon mkuu zitaruka katika anga la stratosphere, mbaali kabisa na usawa zinaporuka ndege. all in all, google bado wana mtihani mzima, kuanzia kwenye tech yenyewe mpaka mambo ya kisiasa. 2ombe wafanikiwe!
 
hahaha poa poa mkuu maana umenkumbusha gi joe hii mpya kile kimtu kidogo kina tabu
 
Huwezi amini nipo njiani naelekea Moro na karibu njia nzima napata 3G Network. Edge hutokea mara chache. Natumia Airtel!

Kama ndo hvyo tigo itakuwa majanga maana nipo municipal dar na 3g yao inakuja na kupotea
 
Back
Top Bottom