Ujio wa viber na whatsapp hasara kwa telecos?

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,699
Reaction score
9,591
Bila shaka ujio wa viber na whatsapp umepunguza maradufu gharama ya kupiga simu na kutuma sms. Mfano data usage ya viber ni sawa na 240 kb per min(up and down). Hii ina maana simu ya saa moja(iwe local au international) inakula 14MB(up and down). 50 MB zantel ni sawa na tsh 500 hivo gharama ya one hour international call ni sawa na 14/50x500 au tsh 140. Hii si kiama kwa telecos au?
 
true, kwa upande wa sms zimeua kabisaaa, ila kwa calling skype imeua international calls, viber mi siitumii sana ila Young Master ndo kinara wa viber atafanunua zaidi
 
Last edited by a moderator:
Ila bado haijafika sehemu tuseme zimeua soko, ni wangapi wanasimu zinazosupport viber au skype? wangapi wanazitumia? wangapi wanatumia mara kwa mara? kwa upande wa sms sawa sasa karibu watu wote wanatumia whatsapp na facebook kuchat ila kwa simu bado, tembea tu hapo nje hata sasa ukikutana na mtu muulize kama ana account viber,kwanza wengi watakuuliza ni nini labda kwa ulimwengu wa kwanza.
 
kibongo bongo hazijaua na zikianza kuua watafanya kama wanavyofanya ulaya simu za mikataba na bundle za kulazimishwwa. biashara kila siku ina mbinu mpya
 
ndivo itakavokuwa muda si mrefu,ukizingatia smartphones zinaongezeka kwa kasi,na teknolojia inakuwa kupika kawaida,angalia facebook wanaingia katika soko la mobile kwa hyo mitandao ya simu itashindana kutoa bundle kubwa na nafuu
 
kibongo bongo hazijaua na zikianza kuua watafanya kama wanavyofanya ulaya simu za mikataba na bundle za kulazimishwwa. biashara kila siku ina mbinu mpya

simu za mikataba zikoje mkuu chief-mkwawa nifafanulie kuduuchu
 
Last edited by a moderator:
simu za mikataba zikoje mkuu chief-mkwawa nifafanulie kuduuchu

si kama vile marekani unaskia wanakwambia labda htc one inauzwa dola 200 lakini ukinunua utatumia vodacom tu kwa miaka miwili halafu kila mwezi unalipia dola 50 mpaka miaka miwili iishe.

na hizo dola 50 unazolipia kila mwezi unapewa mb za internet sms na dakika za kuongea. sasa hapa ina maana unatumia viber au skype wao hawajui wanakupa dakika na sms.

mkuu jina zuri hio verified username na mimi naitaka
 
nimekusoma mkuu, kuhusu kuwa verified, nicheki pembeni nikupe maelekezo
 
Bila shaka ujio wa viber na whatsapp umepunguza maradufu gharama ya kupiga simu na kutuma sms. Mfano data usage ya viber ni sawa na 240 kb per min(up and down). Hii ina maana simu ya saa moja(iwe local au international) inakula 14MB(up and down). 50 MB zantel ni sawa na tsh 500 hivo gharama ya one hour international call ni sawa na 14/50x500 au tsh 140. Hii si kiama kwa telecos au?

Mitandao ya simu haina cha kuhofia, atleast not kwa sasa! Maumivu yakizidi wanaongeza gharama za bando tu mnabaki kulia vilevile. Cha kuhofiwa na mitandao ya simu kwa sasa ni Project Loon ya Google, hiyo ikishika kasi tu basi kwishenei kila ki2!
 
Akucheki wewe (tena pembeni), au amcheki Invisible moja kwa moja?...hahahahaa, natania mkuu!

hahaaa nilidhani uzi huu sio mahala sahihi kumuelezea ishu tofauti na muanzishaji aloiweka ndo maana nikamuambia anicheki chemba. njia rahisi ni kumpm robot akupe maelekezo. nilitaka kumpa additional info maana kuna njia zaidi ya moja.
 
Last edited by a moderator:
Mitandao ya simu haina cha kuhofia, atleast not kwa sasa! Maumivu yakizidi wanaongeza gharama za bando tu mnabaki kulia vilevile. Cha kuhofiwa na mitandao ya simu kwa sasa ni Project Loon ya Google, hiyo ikishika kasi tu basi kwishenei kila ki2!
hao mauzo nokia mwisho wa siku ndo watakuja kukomboa
 
simu za mikataba zikoje mkuu chief-mkwawa nifafanulie kuduuchu
mkuu simu za mikataba ni kwa mfano hapa france kuna shirika linaitwa free mobile ambao wanatoa sim card zao amabazo unalipia kwa mwezi 16euro call, sms;mms, and internet unlimited na ukitaka simu unachagua ile ambayo wee unataka halafu unalipa kwa mwezi mpaka ile thamani ya simu umalizie lile deni hapo hio simu itakua yako
chungulia hapa Découvrez notre sélection de téléphones
 
mhhh Tango ndio kiboko ya wote sio Skype wala viber anaeweza kutia mguu Jaribu leo kuanzia regular call mpaka video call utafurahi very clear www.tango.com
 
mkuu google ana blah blah sana kwenye network lakini implementation zake ni zero yeye anakuza brandname ambacho ni kizuri kwake kama kampuni ya utangazaji.

nokia akiwa mmiliki wa asilimia 60 ya 2g na 3g na asilimia 50 ya 4g ndo amekua mkombozi wa nchi zetu za kimaskini.

yani ukiona mtandao unatoa speed kubwa na bei ndogo kwa africa ujue basi nokia wapo nyuma yao.

mfano tanzania vodacom wana ubia na nokia na hii internet tunayoisifia inatoka huko na hata 4g sasa hvi ya voda inayokuja ni nokia.

Vodacom Tanzania prepares for super fast 4G mobile broadband | Nokia Siemens Networks

same to airtel nao wanatumia nokia network

angalia sasa coverage ya hii mitandao miwili hapa tz, airtel na voda unakuta karibia mikoa yote wana 3g tofauti na mitandao ambayo haitumii network hii.
 
Ni kweli Mkuu, uko sahihi kabisa. Lakini this time naona google wanakuja kwa kasi vilevile, maana hiyo project loon naona washaanza kuifanyia majaribio huko New Zealand, so far wakulima walishaanza kula net ya bure huko!
 
Huwezi amini nipo njiani naelekea Moro na karibu njia nzima napata 3G Network. Edge hutokea mara chache. Natumia Airtel!
 
Ni kweli Mkuu, uko sahihi kabisa. Lakini this time naona google wanakuja kwa kasi vilevile, maana hiyo project loon naona washaanza kuifanyia majaribio huko New Zealand, so far wakulima walishaanza kula net ya bure huko!

unaweza kuwa sahihi mkuu lets wait and see. idea ni nzuri hata mimi nimeipenda, though inaonesha ni bei ghali sana
 
Back
Top Bottom