Ujio wa Smart au Hybrid cars na Sheria Mpya ya Motors Vehicles licence.

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,653
Hivi sasa soko la Magari linapata msukomo mkubwa kuelekea kwenye matumizi ya magari ya kisasa ambayo ni fuel economy na pia hayana effect kubwa katika mazingira.

Kutokana na kukuwa kwa technologia, makampuni ya Kutengeneza magari yameweza kuja na aina mpya ya magari yenye uwezo wa kutumia mafuta pamoja na umeme. Haya yanaitwa Hybrid cars.

Kila kampuni kubwa za kutengeneza magari zimeweza kutengeneza hybrid cars ambazo ni affordable. Brand new kwa bei zinarange kuanzia $18,000 nakuendelea.
46e2b3007f2f71ad5c34d41f590d9271.jpg
4b4004bdcccaf96fab4c2931c5890bd6.jpg
d24cbfacda48798cdb48025fb0063500.jpg
3cc24c7352f454afc4cbf5b1d4678991.jpg
a5abba625451e399eac19794cd5d132d.jpg
c56504636ea645ed4944b4f8acce366a.jpg
28ed711441c7ea585e8c046d4707a04d.jpg
aece3122560d22653d85adac9cf5c055.jpg
830cfd4f39b32e4ada88fd06b3aa8508.jpg
00ab8716ce4fee12cbf6990f7fe1215f.jpg

Smart cars nyingi ni gari zilizotengenezwa kutumia mafuta kidogo sana. Hi sheria haitakuwa catalyst ya kufanya watu kukimbilia magari ya namna hii na kuachana na yale yanayokunywa mafuta kama kiboko anavyokunywa maji.

Hii sheria mpya ya Motor vehicle licence itawezaje kucopy na haya mabadiliko ya technology. Maana inatabiliwa kufikia 2026 zaidi ya 50% ya magar barabarani yatakuwa hybrid cars na smart cars.
 
Hivi sasa soko la Magari linapata msukomo mkubwa kuelekea kwenye matumizi ya magari ya kisasa ambayo ni fuel economy na pia hayana effect kubwa katika mazingira.

Kutokana na kukuwa kwa technologia, makampuni ya Kutengeneza magari yameweza kuja na aina mpya ya magari yenye uwezo wa kutumia mafuta pamoja na umeme. Haya yanaitwa Hybrid cars.

Kila kampuni kubwa za kutengeneza magari zimeweza kutengeneza hybrid cars ambazo ni affordable. Brand new kwa bei zinarange kuanzia $18,000 nakuendelea.
46e2b3007f2f71ad5c34d41f590d9271.jpg
4b4004bdcccaf96fab4c2931c5890bd6.jpg
d24cbfacda48798cdb48025fb0063500.jpg
3cc24c7352f454afc4cbf5b1d4678991.jpg
a5abba625451e399eac19794cd5d132d.jpg
c56504636ea645ed4944b4f8acce366a.jpg
28ed711441c7ea585e8c046d4707a04d.jpg
aece3122560d22653d85adac9cf5c055.jpg
830cfd4f39b32e4ada88fd06b3aa8508.jpg
00ab8716ce4fee12cbf6990f7fe1215f.jpg

Swali langu ni kwamba: Hii sheria mpya ya Motor vehicle licence itawezaje kucopy na haya mabadiliko ya technology. Maana inatabiliwa kufikia 2026 zaidi ya 50% ya magar barabarani yatakuwa hybrid cars.
Tutauliza yanakotumika wanafanyaje!
 
sheria siyo msaafu au bibble..inaweza badilika kulingana na wakati au ikionekana haifai kwa matumizi.
 
Juzi niliona jamaa ana smart car. Nahisi sasa anachekelea hadi jino la mwisho kama vile naliona.
Hizo gari ni nzuri sana mana zinatumia mafuta kidogo then bdae umeme unatumika ila shida ni mafundi wetu zinawasumbua sana kwenye matengenezo,mimi nayo inatumia huo mfumo nlinunua thailand....ilileta shida kidogo mafundi walishindwa kutatua tatizo kabisa
 
Mkuu kuna mafundi na wahandisi sasa sijuwi ulimpekekea nani? Kampuni ya Elon Musk, Tesla motors electrical engineers ndo wana design automobile system.
 
Shida ilikua hitilafu kwenye betri za kuzalisha umeme machine ya diagnosis ilikua inasema hivyo ila sasa fundi wa umeme walichemka zaidi ya watano ambao wanategemewa hpa atwn....nlipata fundi nrb nkamleta akatatua tatizo
 
Back
Top Bottom