kwanza niagize nifanye baishara ya kukodisha
njia za panya zipoTra hawaruhusu kuingia nchini.. utapata hasara bandarini ama airport
Umesema kuhemeana !😁Mwanaume wa kweli haogopi mizinga na raha ya mahaba kuhemeana na kuchokozana...
naskia sikia ukikosea setting inakupiga pipe
nimecheka sana na jina ukamtaja kabisaNdio kwa Raha zetu mmezidi sana kuturingia na mizinga isiyo kwisha
apo nikirud zang jion namtoa babe wang #Aiyun kabatini naji sevia ntakavyo
Acha na sisi mafukara tuseme "heri wazinzi masikini maana miaka ijayo wanawake wengi watabaki kuwa wao"Heri wenye pesa zao kwani watakwepa mengi hasa ukimwi .
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Kwakweli wanawake hii vita sijui kama mtaiwezaView attachment 1743634
Njoo nikuoe mimiKwahiyo wanaume mtakua mnanunua midoli kwa gharama yoyote kuliko kutoa mahari mtuoe..
Kweli dunia hadaa....