Ujio wa pili wa Yesu na Alliens invasion

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,206
12,706
Kitabu cha ufunuo kinazungumza habari ya siku za mwisho ambavyo mataifa yatajikusanya kupigana na jeshi la malaika wa Mungu likiongozwa na Yesu.

Kwa maoni yangu ni kuwa binadamu watapambana na jeshi la Mungu si kwa sababu ni waovu bali kwa sababu watafikiri kuwa ujio wa pili ni uvamizi wa extraterrestrial beings. Wataona ni aliens wamevamia. Aliens invasion ndiyo kitu pekee kinachoweza kuwaunganisha binadamu wote kupigana pamoja.
 
pumba tupu.......

FB_IMG_16228809025748715.jpg
 
for the record, yesu alikuja Duniani akateswa mpaka akamuomba Mungu aichukue roho yake ili aende zake mbinguni na ikawa hivo, baada ya siku kadhaa akarudi Duniani (kufufuka) na baadaye akapaa tena
hivo basi,akirudi ni mara ya tatu (kama hata atarudi)
Hahahaha dah
 
Alikufa, akazikwa, akashuka kuzimu, siku ya tatu akafufuka kutoka kwa wafu. Akapaa mbingini.
Kwa maana hiyo naona alipokufa hakwenda Mbinguni, ila alipofufuka akapaa mbinguni
 
Nani? Au yule wa kutokea Tizi aliyeomba nafasi ya kuongoza malaika polepole pindi akishatwaliwa?
huyo huyo kwani si alishakua mweshimiwa mungu kitambo na alipandishwa cheo na Mr kalamagamba kambudi yule professor uchwara wa jalalani aliechoma mafuta ya mwewe kwenda Antananarivo Kwa
dj Andy Rajoelina kuchukua juice ya pilipili kichaa et ni dawa ya kworona!

Anyway nina ujinga mwingi Sana!
😁😁😁
 
Kitabu cha ufunuo kinazungumza habari ya siku za mwisho ambavyo mataifa yatajikusanya kupigana na jeshi la malaika wa Mungu likiongozwa na Yesu.

Kwa maoni yangu ni kuwa binadamu watapambana na jeshi la Mungu si kwa sababu ni waovu bali kwa sababu watafikiri kuwa ujio wa pili ni uvamizi wa extraterrestrial beings. Wataona ni aliens wamevamia. Aliens invasion ndiyo kitu pekee kinachoweza kuwaunganisha binadamu wote kupigana pamoja.

Kwa maoni yako, kwani hayo yaliyoandikwa kwenye kitabu cha ufunuo kaandika nani ??
 
Ebu kasome vizuri huo mstari nahisi unazungumzia ufunuo 20. Kama ni ufunuo 20 haimaanishi watu wote wataungana kupigana na malaika(na sio malaika waliokuwa wanaenda kupigana nao) bali ni wale ambao hawatapa nafasi kwenye ufufuo wa kwanza ndio watakao rubuniwa na shetan kujikusanya ili kwenda kuushambulia mji wa watakatifu (mda huo shetan atakuwa yupp huru akitawala dunia)

Ufunuo wa Yohana 20:7-10
⁷ Na hiyo miaka elfu itakapokwisha, Shetani atafunguliwa, atoke kifungoni mwake;
⁸ naye atatoka kuwadanganya mataifa walio katika pembe nne za nchi, Gogu na Magogu, kuwakusanya kwa vita, ambao hesabu yao ni kama mchanga wa bahari.
⁹ Wakapanda juu ya upana wa nchi, wakaizingira kambi ya watakatifu, na mji huo uliopendwa. Moto ukashuka kutoka mbinguni, ukawala.
¹⁰ Na yule Ibilisi, mwenye kuwadanganya, akatupwa katika ziwa la moto na kiberiti, alimo yule mnyama na yule nabii wa uongo. Nao watateswa mchana na usiku hata milele na milele.

Hivyo ndivyo ninavyo elewa mm
 
Back
Top Bottom