Ujio wa Mama Mkwe - Sasa twazila Hela za Wife

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,230
Reaction score
10,201
Ujio wa Mama Mkwe - Sasa twazila Hela za Wife

Wakuu JF nacheka kama Mazuri vile.
Wife wangu ni Mtumishi wa Serikali, ana ka kipato sio Kabaya, Mimi ni Misheni town, ila kwenye Mishe Mishe zangu sijawahi ku fail, yaani kiufupi Nategemeza home kwangu Mwanzo mwenga, kaunzia ma Bill ya Umeme, Maji, Ma Ada, Ndinga za home zote juu yangu, Najivunia kwa hili as a Man na wala sina Kinyongo.
Shemeji wala simuulizi na Incomes zake, yuko Busy na Vicoba na Kikopa kuwapa Mitaji Kaka zake.

Mwanaume hilo wala haliniumizi, na huwa nahisi ndio Sadaka Mungu anasaidia ku Nemeesha Mishe zangu Mjini Arusha hapa
Sasa bana juzi Mama Mkwe kaja (Wife kamuita), home hakujawahigi kupungukiwa chochote, nimestuka tu Wife sasa yupo front line ana simamia show zote, juzi kati niliporudi kutoka Kilingeni nakuta kaenda Shopping nunua ma kila kitu home, ma Nyama ma Samaki ma kila kitu ambayo mimi ndio Jukumu langu, haya niliyaona wakati nafungua friji kupata Beer zangu home za jioni, sikutaka kuuliza. Yaani kabla hata sikutatu hazijaisha kaibuka tena shopping kuhakikisha ana top up kwenye friji.

Baadae nikamuuliza mbona Mama kuna hizi changes, akaniambia ameamua ku change kuhakikisha Mambo madogo yahome anaya handle na Makubwa mimi niendelee tu, nikamwambia Hongera Mama na Ahsante (Huku nacheka sana ki moyo moyo.

Nasubiria Mama mkwe akiondoka ntakuja kutoa update kama changes zake ni consistence ama ni namna gani.

Wazee wanaume tutafute HELA, narudia TUTAFUTE HELA
 
Sasa bana juzi Mama Mkwe kaja (Wife kamuita), home hakujawahigi kupungukiwa chochote, nimestuka tu Wife sasa yupo front line ana simamia show zote, juzi kati niliporudi kutoka Kilingeni nakuta kaenda Shopping nunua ma kila kitu home, ma Nyama ma Samaki ma kila kitu ambayo mimi ndio Jukumu langu, haya niliyaona wakati nafungua friji kupata Beer zangu home za jioni, sikutaka kuuliza.
Yaani kabla hata sikutatu hazijaisha kaibuka tena shopping kuhakikisha ana top up kwenye friji.
Baadae nikamuuliza mbona Mama kuna hizi changes, akaniambia ameamua ku change kuhakikisha Mambo madogo yanhome anaya handle na Makubwa mimi niendelee tu, nikamwambia Hongera Mama na Ahsante (Huku nacheka sana ki moyo moyo.
Nasubiria Mama mkwe akiondoka ntakuja kutoa update kama changes zake ni consistence ama ni namna gani.

Wazee wanaume tutafute HELA, narudia TUTAFUTE HELA
Hili swala la kusema tutafute pesa au hela, kuna ambaye hajui kuwa anatakiwa kutafuta pesa mpaka akumbushwe? Kama wewe umejipata shukuru Mungu wengine hatujui sehemu ya kuzitafutia japo tunazitamani sana
 
Ujio wa Mama Mkwe - Sasa twazila Hela za Wife

Wakuu JF nacheka kama Mazuri vile.
Wife wangu ni Mtumishi wa Serikali, ana ka kipato sio Kabaya, Mimi ni Misheni town, ila kwenye Mishe Mishe zangu sijawahi ku fail, yaani kiufupi Nategemeza home kwangu Mwanzo mwenga, kaunzia ma Bill ya Umeme, Maji, Ma Ada, Ndinga za home zote juu yangu, Najivunia kwa hili as a Man na wala sina Kinyongo.
Shemeji wala simuulizi na Incomes zake, yuko Busy na Vicoba na Kikopa kuwapa Mitaji Kaka zake.

Mwanaume hilo wala haliniumizi, na huwa nahisi ndio Sadaka Mungu anasaidia ku Nemeesha Mishe zangu Mjini Arusha hapa
Sasa bana juzi Mama Mkwe kaja (Wife kamuita), home hakujawahigi kupungukiwa chochote, nimestuka tu Wife sasa yupo front line ana simamia show zote, juzi kati niliporudi kutoka Kilingeni nakuta kaenda Shopping nunua ma kila kitu home, ma Nyama ma Samaki ma kila kitu ambayo mimi ndio Jukumu langu, haya niliyaona wakati nafungua friji kupata Beer zangu home za jioni, sikutaka kuuliza. Yaani kabla hata sikutatu hazijaisha kaibuka tena shopping kuhakikisha ana top up kwenye friji.

Baadae nikamuuliza mbona Mama kuna hizi changes, akaniambia ameamua ku change kuhakikisha Mambo madogo yahome anaya handle na Makubwa mimi niendelee tu, nikamwambia Hongera Mama na Ahsante (Huku nacheka sana ki moyo moyo.

Nasubiria Mama mkwe akiondoka ntakuja kutoa update kama changes zake ni consistence ama ni namna gani.

Wazee wanaume tutafute HELA, narudia TUTAFUTE HELA
Chai
 
Ndoa ni ushirika kati ya watu wawili jinsia tofauti kwenye kila kitu. Hiyo style kuwa wewe ndio unabeba gharama zote za nyumbani na hela yake haijulikani inaenda wapi haina afya kwenye ndoa na familia.
Ipo siku utayumba kiuchumi na ndoa itaingia mgogoro.
 
Back
Top Bottom