nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
Habari?
Kwa wale wapenzi wa riwaya, Kitabu cha Dar es Salaam usiku cha mwandishi hayati Ben Mtobwa kitapatika kuanzia tarehe 7 ya mwezi wa nane kwa bei ile ile ya shilingi elfu 10,000 tu. Kwa wanaoishi nje ya Dar, unaweza kutumiwa kitabu chako kwa njia ya sanduku au basi kwa bei ya shilingi 5000 tu.
Kwa wale wa Dar es salaam, utaweza kujipatia kitabu hiki posta mpya katibia na sanamu la askari au Kinondoni nyuma ya jengo la airtel.
Mpaka sasa vinapatikana vitabu 9
1/ Malaika wa shetani 10,000
2/ Mtambo wa mauti 10,000
3/ Najisikia kuua tena 10,000
4/ Mikataba ya kishetani 10,000
5/ Mikononi mwa nunda 10,000
6/ Tutarudi na roho zetu? 10,000
7/ Roho ya paka 10,000
8/ Salamu toka kuzimu 10,000
9/ Zawadi ya ushindi..... 7,000
Kwa mawasiliano zaidi, tupigie kwa namba 0763044459 au 0712504985

Attachments
-
mkataba[1].jpg193 KB · Views: 169 -
mtambo[1].jpg159.6 KB · Views: 155 -
salamu[1].jpg190.5 KB · Views: 153 -
tutarudi[1].jpg151.6 KB · Views: 151 -
paka[1].jpg144.2 KB · Views: 153 -
dar usiku cover.jpg11.7 KB · Views: 167 -
malaika wa shetani.jpg71.6 KB · Views: 157 -
najisikia.jpg8.6 KB · Views: 126 -
nunda.jpg66.8 KB · Views: 176