Ujio wa John Magufuli umeitikisa zaidi CHADEMA!

Ujio wa John Magufuli umeitikisa zaidi CHADEMA!

Nyie pigeni kelele hapa Jf wakati wazee wenyewe wako site, si unakumbuka wakati wa Dodoma mlivyojazana humu alafu baadae yaliyofatia? Magufuri hana shida na Jf, yeye yuko site kama kawa
 
Mkuu,
Unachokisema ndicho msingi wa thread yangu!

Yaani Viongozi wote wakuu wa chama na Kurugenzi za Utendaji Makao Makuu wanafunga safari kwenda Mwanza kuwapokea wabunge wawili waliotoka CCM?.

Ndiyo maana nikasema, kwa mtaji huu wataweza kupambana na CCM.

Teh teh teh! Mtaelewa tu.
 
Acha uongo muuza Nyumba za serikali ndio aitikise Chadema? Mtikila anafungua kesi ya kudai Nyumba za serikali zirudishwe
 
Nadhani Magufuli amekuwa zaidi ya tishio
 
Back
Top Bottom