Ujio wa John Magufuli umeitikisa zaidi CHADEMA!

Ujio wa John Magufuli umeitikisa zaidi CHADEMA!

Mkuu,
Kitu gani kinakufanya udhani mimi ni mdogo wako?

Nadhani kama ungekuwa ni kaka yangu, ungenionyesha ni zipi fikra ambazo siyo finyu!
Ukiona hivyo ujue huo ndio upeo wake wa kufikiri, Hana cha kuchangia zaidi ya kukosoa pasipo kutoa hoja m-badala. Mvumilie
 
Mwenye ushabiki usiokua na tija hataelewa ulichokiandika kwenye uzi wako hata hivyo hali hiyo haitabadilisha ukweli kwamba hoja zako zina mashiko
Mkuu,
Mimi ninaandika bila kujari kama kuna watu watakubaliana na mimi au hawatakubaliana nami.

Niko hapa jukwaani ili kujifunza na kupata habari.

Ninauheshimu sana uongozi wa Jamiiforums kwa kuruhusu mijadala yote ambayo iko ndani ya ubinadamu na kuhakikisha wanaJF wanapingana kwa nguvu za hoja.
 
Bwana mkubwa nakupa pongezi za kweli kwa mtazamo chanya na upeo mkubwa wa kujua siasa na hilo litaitesa sana chadema,mm nazani wafuasi wa chadema na viongozi ni watu wa kukurupuka na ndo maana leo wamefika hata kula matapishi ili mradi waingie sehemu wanayotaka.sasa je kama ndo hivi ikulu wanayoitaka wataweza kumudu au tushuhudie ngumi
 
Usitake kupotosha umma hakuna sehemu yeyote anayopita magufuli ambayo hakuna maandalizi ya kutosha ya kukusanya watu ili wahudhurie sehemu atakayo pita na ndio maana huwa kuna maandalizi ya Vipaza sauti na majukwaa na ndio maana wahudhuriaji wengi huwa wamevaa sare za CCM. kwa hiyo kilichotokea mwanza sio kwamba magufuli alikuwa anapita tu ni tukio maalum lililokuwa limeandaliwa zaidi ya siku tatu kabla.tukio la uwepo wa viongozi wote pale mwanza lilikuwa ni tukio maalum la kuwapokea wabunge waliolikacha lichama lenu na kujiunga kwenye timu ya ukombozi tukio ambalo halina tofauti na lile la CCM kuwakusanya viongozi wote wa CCM kwa ajili ya kuwapokea Juliana Shonza na Mtela Mwampamba pale Dodoma.
Mkuu,
Unachokisema ndicho msingi wa thread yangu!

Yaani Viongozi wote wakuu wa chama na Kurugenzi za Utendaji Makao Makuu wanafunga safari kwenda Mwanza kuwapokea wabunge wawili waliotoka CCM?.

Ndiyo maana nikasema, kwa mtaji huu wataweza kupambana na CCM.
 
Usitake kupotosha umma hakuna sehemu yeyote anayopita magufuli ambayo hakuna maandalizi ya kutosha ya kukusanya watu ili wahudhurie sehemu atakayo pita na ndio maana huwa kuna maandalizi ya Vipaza sauti na majukwaa na ndio maana wahudhuriaji wengi huwa wamevaa sare za CCM. kwa hiyo kilichotokea mwanza sio kwamba magufuli alikuwa anapita tu ni tukio maalum lililokuwa limeandaliwa zaidi ya siku tatu kabla.tukio la uwepo wa viongozi wote pale mwanza lilikuwa ni tukio maalum la kuwapokea wabunge waliolikacha lichama lenu na kujiunga kwenye timu ya ukombozi tukio ambalo halina tofauti na lile la CCM kuwakusanya viongozi wote wa CCM kwa ajili ya kuwapokea Juliana Shonza na Mtela Mwampamba pale Dodoma.

Mimi ni ukawa lakini nadhani humjui magufuli, ili ukawa wafanikiwe kwanza lazima tukubali magufuli ana nguvu na ndio tupange mashambulizi ya kupambana nae bila hivyo hatuwezi kumshinda kwanza yeye kama yeye alishajipigia kampeni zamani kwa wananchi. Pili wananchi wanamwamini sio muongo.
Tatu ukanda anaotoka ni advantage kwake.
Ill ukawa washinde lazima wakubali na wajipange jinsi ya kupambana suala la kukimbilia kwa lowassa ni short cut wanayotafuta kwa kuwa wameona ugumu uliopo.
 
Political suicide kwa Chadema would be kumpokea mgombea aliyehama CCM na kuingia Chadema halafu apewe ugombea urais. Ni afadhali waachie anybody from within. Imagine another Shibuda halafu ndo awe mgombea urais!! Yeah, Magufuli anafanya urais uwe mgumu sana kwa upinzani. Hasa kwa kuwa hadi sasa mgombea wa upinzani hajajulikana wakati Ma locks akiendelea kujiuza! Sioni ukawa ikikubaliana. Na hii ni sehemu ya tatizo la upinzani!
 
magufuli hawezi kuwa Rais wa Tanzania, ni mgombea dhaifu anayetegemea ukabila(kanda ya ziwa) , mkosa maadili ( rejea uuzwaji wa nyumba za serikali na kumuhonga kimada wake nyumba moja , kutumia ulinzi wa serikali, magari ya serikali, ndege yarais na tovuti ya ikulu kwa matumizi ya chama)
Mkuu,
Kama ulibahatika kushuhudia ule mkutano wa Chadema waliofanya Mwanza na kuwatambulisha wabunge waliohamia Chadema, ungefahamu ukweli wake kupitia mazingira ya mkutano.

Big gun wote wa Chadema walihudhuria na kuhutubia lakini hotuba zao zililenga kwa Magufuli. Hii inaonyesha jinsi Chadema walivyotikiswa na ujio wa Magufuli.

Hii inatosha kutoa angalizo.
 
Magufuli kavuruga ukawa kabisa mtu mmoja tu wao wanajikusanya 20 afu ado wanajisifi
Mkuu,
Mkutano waliofanya ulikuwa unasema mengi zaidi ya hoja walizokuwa wanazitoa!

Ujio wa Magufuli umewatingisha kweli kweli!
 
UKAWA wamepigwa na kwikwi iliyofuatiwa na kigugumuzi
Mkuu,
Nadhani wao walikuwa wamejiandaa kutoa makombora kwa Membe au Lowassa lakini Wazee wa CCM wakaucheza mchezo ambao Watanzania wengi hawakutegemea.

Kilichofanywa na Wazee wa CCM kwenye ulingo wa mchezo wa ngumi inaitwa feint jab!
 
huelewi.jk alimtaka membe nec wakamkataaa
 
Political suicide kwa Chadema would be kumpokea mgombea aliyehama CCM na kuingia Chadema halafu apewe ugombea urais. Ni afadhali waachie anybody from within. Imagine another Shibuda halafu ndo awe mgombea urais!! Yeah, Magufuli anafanya urais uwe mgumu sana kwa upinzani. Hasa kwa kuwa hadi sasa mgombea wa upinzani hajajulikana wakati Ma locks akiendelea kujiuza! Sioni ukawa ikikubaliana. Na hii ni sehemu ya tatizo la upinzani!

Nape anajua magufuli hauziki ndio maana akatangaza CCM kutumia goli lamkono.
 
Siku 3 comment 36 tu.... Kumuuza Magufuli ni ngumu
Mkuu,
Siweki thread ili kupata comments, naweka thread ili kufikisha ujumbe.

Hata kama ni comment, hoja siyo comment, hoja ni comment za aina gani.

Magufuli kama mgombea haitaji kuuzwa, kinachouzwa ni Ilani ya Uchaguzi.

By the way, huoni comment yako inaongeza comment! Mwenye uelewa asingeongeza comment ili kuongeza comments.
 
Back
Top Bottom