Ujio wa D.Trump waiokoa Kenya na Afrika!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,782
Ingawaje wengi hawaelewi lkn kama siyo uwepo wa D.Trump kama Raisi wa USA leo hii Kenya kungekuwa na fujo kama 2007, kinachomzuia Raila Odinga kulianzisha ni Support ya international Community (USA), ingekuwa ni yule long legs wenu na Clinton sasa hivi Wakenya wangeshaanza kufukuzana mashambani na kupigana mapanga!

Vita imeisha Afrika, boko haram, Kony, hata Kongo imetulia tangu kuondoka kwa long legs, sera ya D.Trump ni kutokuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine ,,we do not seek to impose our way of life on anyone but rather let it shine as an example for everyone to follow" - D. Trump!
 
Vita imeisha Afrika, boko haram, Kony, hata Kongo imetulia tangu kuondoka kwa long legs, sera ya D.Trump ni kutokuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine ,,we do not seek to impose our way of life on other countries rather let it shine for others to follow" - D. Trump!
Kwa hiyo unasema hivyo ili muendelee kukataza FBI waje wafanye uchunguzi huru wa shambulio la Lisu!!?
 
Barbarosa, hahahahahah, ukipigwa BAN huwa na miss sana "siledi" zako. hahhaha
 
Ingawaje wengi hawaelewi lkn kama siyo uwepo wa D.Trump kama Raisi wa USA leo hii Kenya kungekuwa na fujo kama 2007, kinachomzuia Raila Odinga kulianzisha ni Support ya international Community (USA), ingekuwa ni yule long legs wenu na Clinton sasa hivi Wakenya wangeshaanza kufukuzana mashambani na kupigana mapanga!

Vita imeisha Afrika, boko haram, Kony, hata Kongo imetulia tangu kuondoka kwa long legs, sera ya D.Trump ni kutokuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine ,,we do not seek to impose our way of life on anyone but rather let it shine as an example for everyone to follow" - D. Trump!
Toka lini US govt wakafata tweets za trump?
rejea kauli yake kuhusu NK nukes na alichosema msemaji wa WH utajua si kila anachotweet trump ndo msimamo wa US.
US kutoingilia masuala ya ndani ya nchi huru ni sawa na kusema mwili uwe stable bila mzunguko wa damu
 
Hiyo siyo tweet ya D.Trump bali ni msimamo wa Serikali inayoongozwa na Trump na ni hotuba yake ya ufunguzi baada ya kuapishwa na akairudia tena UN!
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hiyo siyo tweet ya D.Trump bali ni msimamo wa Serikali inayoongozwa na Trump na ni hotuba yake ya ufunguzi baada ya kuapishwa na akairudia tena UN!
Sawa ila huyu si wa kumsikiliza sana. Sasa hivi bora kupata clarification kutoka WH spokesperson kuliko Mr President
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom