cc12
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 1,018
- 397
Duh. Mko nyuma sana. Unga Limited Arusha watu wanatumia 7G tangu mwaka 2009
Mkuu kwa mtandao ganii ??????
Duh. Mko nyuma sana. Unga Limited Arusha watu wanatumia 7G tangu mwaka 2009
Guys jitahidin kuheshim thread za watu...kama hamkua na cha kusema ni bora mngekaa kmya kuliko kuharub thread..
Unajua maana ya kujikongoja?Acha uongo mbona mm niko hapa kwa luka nakula chips huku naperuzi jf kwa kutumua tigo?
Ni kutojielew tu...mtu na akili zake timamu hawez fanya ujinga waliofanya hao jamaa...Hata mimi wameniboa sana tu
Wana jf heshima zanu, leo katika pita pita yangu kwenye net nimesoma uzinduzi wa 4g tigo hapo bongo katika maeneo ya mlimani na masaki, walio katika maeneo hayo na wameshatumia hiyo service watujuze kuhusu performance yake????
Karibu kwenye uzinduzi wa huduma mpya ya 4G/LTE kesho Trh 24-4 saa 3:00 asubuhi Mlimani City. Fika na kitambulisho usajili line mpya ya 4G/LTE yenye 10GB BURE .
MM WAMENITUMIA HYO SMS, NA WAMENILETEA KADI YA MWALIKO SEHEMU NILIPO
I have the same ideology, mitandao karibia yote minara yao haina 3G, yaani kila sekunde utakuta simu inacheza E,3G,H,H+,E,3G,H,H+,E,3G,H,H+,E,3G,H,H+Mimi naona tigo wangefunga 3g kwanza ktk minara yao yote mijini na vijijini kabla ya kujitanua kwenda 4g.hapo dar penyewe internet ktk mtandao wa tigo ni mwendo wa kobe, any way ngoja tuwasubiri
Sijui kama ninekupata vizuri ilaI have the same ideology, mitandao karibia yote minara yao haina 3G, yaani kila sekunde utakuta simu inacheza E,3G,H,H+,E,3G,H,H+,E,3G,H,H+,E,3G,H,H+
umeandika points kiongozi.....!wanakimbilia lte wakati 3g majanga bado.
Mimi naona tigo wangefunga 3g kwanza ktk minara yao yote mijini na vijijini kabla ya kujitanua kwenda 4g.hapo dar penyewe internet ktk mtandao wa tigo ni mwendo wa kobe, any way ngoja tuwasubiri