Vitalis Konga
Senior Member
- Sep 22, 2018
- 127
- 231
Sasa mnashindwa nini kumfungulia mashtaka?? Mnawashwa eeh?Wakina Nyalandu ndio lilikuwa genge la Kikwete lililokuwa dalali wa kuuza maliasili ya nchi yetu, hawa ndio wanatakiwa kuwajibishwa kwa kueleza hizo mali walizojilimbikizia walizipataje!!
Wakina Nyalandu ndio lilikuwa genge la Kikwete lililokuwa dalali wa kuuza maliasili ya nchi yetu, hawa ndio wanatakiwa kuwajibishwa kwa kueleza hizo mali walizojilimbikizia walizipataje!!