Ujinga wetu sasa umepanda mpaka vyuo vikuu

Ujinga wetu sasa umepanda mpaka vyuo vikuu

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
15,812
Reaction score
40,298
Nikikumbuka mijadala ya Mwl Nyerere pale UDSM miaka Ile juu ya umajumui wa kiafrika na nikiangalia leo wasomi WA vyuo vikuu wanvyotumika kama chawa wa wanasiasa kupitishia agenda zao kwa faida yao aibu naona Mimi.

Hivi mwanafunzi wa chuo kikuu anashindwaje kutambua ubaya wa hii katiba? Mwanafunzi wa chuo kikuu anashindwaje kutambua kwamba kukubali kuingia kwenye uchaguzi na katiba hii hii ni kuisaidia ccm kubariki maovu yake ya miaka yote.

Kwamba hawa wanafunzi WA vyuo vikuu wamesahau leo jinsi mwanafunzi mwenzao AKWILINA AKWILIN alivyouwawa na policmm kisa ni haya ha mambo ya uchaguzi? HAKIKA UJINGA WETU UMEPANDA MPAKA KWENYE VYUO VYETU VIKUU. Hii ni hatari kubwa sana kwa ustawi wa taifa.

MVUNJA NCHI NI MWANANCHI.
 
Yani lissu analisaidia taifa kufanya formative transformation ya mifumo yetu dhaifu ya uchaguzi na utawala halafu lichawa limoja pumbavu linakubali kutumika na wanasiasa matapeli wanaoharibu taifa letu. Halafu chawa Hilo Hilo litakuja baadae kulia humu hakuna ajira muda mchache ujao.
 
Ndio maana wasomi WA Tanzania hawaajiriki na mnaambiwa muende veta.
 
Sisi tunaenda kinyume nyume wakati wenzetu kanuni ni the more you learn the wiser you become sisi ni tofauti the more you learn the stupidest you become.*
 
Hii nchi ukitaka kuizingatia sana, unaweza kujishtukia umejitoa mhanga. Wakati mwingine unatakiwa kupuuza tu ili maisha nayo yaendelee kibishi.
 
Hii nchi mabadiliko ya kweli kufikiwa ni mpaka iundwe
black OP ORGANIZATION, iwe na weledi kuzidi vyombo vyetu vya dola halafu ianze kudeal na yeyoye anayeleta ujinga kuelekea mabadiliko ya kweli.

Kule mbeya uchaguzi wa sirikali za mitaa, yule mwenyekiti aliyeiba kura akashinda wakamuua huko sidhani tena kama utatokea wizi wa kura.
 
Hii nchi mabadiliko ya kweli kufikiwa ni mpaka iundwe
black OP ORGANIZATION, iwe na weledi kuzidi vyombo vyetu vya dola halafu ianze kudea na yeyoye anayeleta ujinga kuelekea mabadiliko ya kweli.

Kule mbeya uchaguzi wa sirikali za mitaa, yule mwenyekiti aliyeiba kura akashinda wakamuua huko sidhani tena kama utatokea wizi wa kura.
Duh hii simchezo
 
Enzi zenu
1. Ukimaliza chuo unapangiwa ajira Moja kwa Moja, hakukuwa na tatizo la Ajira.
2. Enzi zenu, mlikuwa hamtumii mayai yanayotagwa bila kuku kupandwa na Jogoo.
3. Enzi zenu siasa ya ujamaa na uzalendo wa kweli ilikuwa bado Ina nguvu na Kila mzazi alikuwa naijua.
4. Enzi zenu ukifaulu kwenda chuo au sekondari Kijiji kizima kinakusuplort maana ni wewe peke yako uliyefaulu hapo kijijini, na pia wanakusubiri uje uwakomboe.

Tukianza au kutafakali, Enzi zenu no. 1 tu, unafikri mtu mwenye njaa anaaminika?

Mambo ni mengi lakini pia yamebadirika sana.
 
Nikikumbuka mijadala ya Mwl Nyerere pale udsm miaka Ile juu ya umajumui wa kiafrika na nikiangalia leo wasomi WA vyuo vikuu wanvyotumika kama chawa wa wanasiasa kupitishia agenda zao kwa faida yao aibu naona Mimi.

Hivi mwanafunzi wa chuo kikuu anashindwaje kutambua ubaya wa hii katiba? Mwanafunzi wa chuo kikuu anashindwaje kutambua kwamba kukubali kuingia kwenye uchaguzi na katiba hii hii ni kuisaidia ccm kubariki maovu yake ya miaka yote. Kwamba hawa wanafunzi WA vyuo vikuu wamesahau leo jinsi mwanafunzi mwenzao AKWILINA AKWILIN alivyouwawa na policmm kisa ni haya ha mambo ya uchaguzi? HAKIKA UJINGA WETU UMEPANDA MPAKA KWENYE VYUO VYETU VIKUU. Hii ni hatari kubwa sana kwa ustawi wa taifa.

MVUNJA NCHI NI MWANANCHI.
Vyuo vikuu vya sasa havina tofauti na madarasa ya chekechea. Vinazalisha vijana wengi wa hovyo kabisa. Uwezo wa kujadili hoja kwa tafakuri ya juu hawana kabisa.
 
Nikikumbuka mijadala ya Mwl Nyerere pale UDSM miaka Ile juu ya umajumui wa kiafrika na nikiangalia leo wasomi WA vyuo vikuu wanvyotumika kama chawa wa wanasiasa kupitishia agenda zao kwa faida yao aibu naona Mimi.

Hivi mwanafunzi wa chuo kikuu anashindwaje kutambua ubaya wa hii katiba? Mwanafunzi wa chuo kikuu anashindwaje kutambua kwamba kukubali kuingia kwenye uchaguzi na katiba hii hii ni kuisaidia ccm kubariki maovu yake ya miaka yote.

Kwamba hawa wanafunzi WA vyuo vikuu wamesahau leo jinsi mwanafunzi mwenzao AKWILINA AKWILIN alivyouwawa na policmm kisa ni haya ha mambo ya uchaguzi? HAKIKA UJINGA WETU UMEPANDA MPAKA KWENYE VYUO VYETU VIKUU. Hii ni hatari kubwa sana kwa ustawi wa taifa.

MVUNJA NCHI NI MWANANCHI.
Km siasa imekushinda nenda kalime, wanafunzi wa vyuo vikuu siyo mbeleko ya kuwabeba wanasiasa wale wameenda kuchimbua maarifa. Ulitaka wagome au? Sheria ya uchaguzi tangia ibadilishwe haijatumika hata mara moja mmeshaanza kulalamika, nyie nyumbu mna jambo lililojificha ni kuharibu amani na utulivu wa nchi
yetu. Mnataka kutufanya DRC? Hiyo haitawezekana asilani
 
Back
Top Bottom